Description
Shirika la maji safi na maji taka wamewashtukiza wakaazi wa mtaa wa muharitani na kukata mabomba maji ya watu wasiolipa bili na kuchukua matanki ya maji, mabomba hayo walikuwa wameunganishiwa wanchi binafsi katika nyumba zao ila walikuwa hawalipi bili za maji. Zoezi hilo limefanyika chini ya viongozi wa dawasco na mwenyekiti wa mtaa wa muharitani. Kulingana na kuwa Tandale hamna maji, hii inasababisha kuendelea kuwa na tatizo kubwa la maji hasa katika maeneo waliyokatiwa mabomba hayo (Muharitani).
| Credibility: |
 |
 |
0 |
|
Leave a Comment