Siku ya madawa ya kulevya imeadhimishwa katika wilaya ya kinondoni kata ya Tandale mgeni rasmi alikuwa waziri wa mambo ya ndani muheshimiwa Emanuel Nchimbi
pamoja ni jukumu la jamii nzima inahusika ktk kuhakikiksha inafanikiwa kupiga vita madawa ya kulevya,ni lazima kiwepo chombo maalumu na sio kutegemea police wawe wanamkamata mtu mmojamoja.
Msilikale (Jul 15 2012)
Ila pia Mr. Chillumanga lazima kuwe na Support kutoka kwa serikali ambayo imebeba vyombo vyote vya dola ili kuwe na support kwa wana jamii ambao watakuwa tayari kuwafichua hao watu.
Leave a Comment