Description
Katika barabra ya Tandale kwa Mtogole kuelekea Tandale Sokoni kumekuwa na tatizo sugu la kuzagaa kwa tope hali inayosabishwa na sababu zifuatazwo:-
KUTOKUWEPO KWA MIFEREJI YA MAJI TAKA
Kihistoria tangu barabara hiyo imejengwa hakuna mifereji ya maji taka, hivyo kusababisha maji kutiririka bila mwelekeo maalum na kusababisha tope kuzagaa
JAMII KUTOTUNZA MAZINGIRA
Kumekuwa na tatizo kijamii kwa wakazi kutozingatia swala la Afya na usafi wa mazingira kwa kutiririsha hovyo maji taka barabarani na kusababisha madimbwi yanayosababisha mazalia ya mbu waaleta ugonjwa wa malaria na magonjwa ya milipuko yatokanayo na tatizo la kutokuzingatia kanuni za afya na usafi wa mazingira.
| Credibility: |
 |
 |
0 |
|
Leave a Comment