Showing Reports From Aug 18, 2011 through Sep 09, 2012 Change Date Range
Or choose your own date range:
Takataka zimezagaa barabarani 1 Verified
16:14 Sep 09, 2012
Katika maeneo ya tandale mkunduge nimekuta takataka zimetelekezwa barabarani, hi ni kutokana na kile kilichosemekana kuwa magari ya taka yalitakiwa...
More Information »
« Less Information
Morogoro rd, morogoro rd, kinondoni, dar es salaam, tanzania
Watu na mazingira 1 Verified
13:56 Sep 09, 2012
Maeneo ya Tandale mpakani mwa Muharitani na Mtogole kuna ununuzi wa chupa na vyuma chakavu kitu ambacho ni hatari kwa wakazi wa maeneo hayo....
More Information »
« Less Information
Matengenezo ya kiwanda cha ukusanyaji wa Taka 0 Verified
13:02 Sep 09, 2012
Eneo la Tandale Kiboko Bar katika mpaka wa Mtogole na Muharitani kuna matengenezo ya kiwanda cha ukusanyaji wa taka kutoka kwenye majumba ya...
More Information »
« Less Information
Maji machafu maeneo ya mwenge 0 Verified
10:18 Aug 23, 2012
Kuna maji machafu ambyayo yanatoa harufu maeneo ya barabara ambayo inatoka mwenge stand. Yanatoa harufu sana, yanaweza yakawa yanatoka kwenye...
More Information »
« Less Information
University rd, university rd, kinondoni, dar es salaam, tanzania
Categories
AccessibilityMaji ya barabarani yanatoa harufu 0 Verified
14:02 Aug 15, 2012
Katika eneo la baresa kuna maji ambayo yanatoa harufu hii ni kwa sababu ya kujaa mda mrefu yakia hayajatolewa.
More Information »
« Less Information
Categories
AccessibilityLand conflict at bonde la mpunga - msasani 0 Verified
12:14 Aug 14, 2012
The conflict where one man has built the building on the road so the community complaining about it, the ward excutive officer is here trying...
More Information »
« Less Information
Mkirikiti st, mkirikiti st, kinondoni, dar es salaam, tanzania
Categories
AccessibilityWalioteuliwa kusimamia zoezi la sensa waanza mafunzo 0 Verified
13:52 Aug 09, 2012
Leo yameanza rasmi mafunzo ya ukarani na ukarani uwandamizi ya sensa kata ya tandale, mafunzo hayo yanategemea kufanyika ndani ya siku kumi.
More Information »
« Less Information
Categories
Disease OutbreaksMIFEREJI YAPULIZIWA SUMU KUPUNGUZA MBU. 1 Verified
13:41 Jul 31, 2012
Baadhi ya mifereji, mitaro na mabwawa katika mtaa wa Mtogole imepuliziwa sumu ili kuua Mbu waenezao Malaria na magonjwa mengine.
wananchi...
More Information »
« Less Information
Watu wajitokeza kuomba ukarani na ukarani uandamizi wa Sensa 0 Unverified
13:36 Jul 26, 2012
Kufuatia zoezi la kuhesabiwa ambalo linataka kufanyika hapa nchini mwetu na watu wa Takwimu, watu wamejitokeza kwa wingi kuomba nafasi ya ukarani...
More Information »
« Less Information
Categories
Unclean WaterDAWASCO WAKATA MIPIRA YA MAJI 0 Unverified
13:05 Jul 26, 2012
Shirika la maji safi na maji taka wamewashtukiza wakaazi wa mtaa wa muharitani na kukata mabomba maji ya watu wasiolipa bili na kuchukua matanki...
More Information »
« Less Information
SIKU YA MADAWA YA KULEVYA 2 Verified
13:20 Jun 29, 2012
Siku ya madawa ya kulevya imeadhimishwa katika wilaya ya kinondoni kata ya Tandale mgeni rasmi alikuwa waziri wa mambo ya ndani muheshimiwa...
More Information »
« Less Information
Infrastructure Improvement at Tandale Sokoni 0 Verified
09:30 Jun 24, 2012
There is an infrastructure improvement in Tandale Sokoni due to expected visit of Prime Minister of The United Repubric of Tanzania. The imrovement...
More Information »
« Less Information
Morogoro Rd, Morogoro Rd, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
Categories
AccessibilityBENK JAMII 0 Unverified
13:54 Jun 18, 2012
Benk jamii{vicoba}katika
kata ya Tandale wanachama wake wanakutana kila siku ya jumatatu saa kumi jioni. Mkutano huwa unajadili maendeleo yao.
More Information »
« Less Information
Categories
SecurityKIKAO CHA KAMATI 0 Unverified
13:34 Jun 18, 2012
Kamati ya watoto yatima na waishio katika mazingira magumu katika mtaa wa kwatumbo imebuni mbinu za kupata pesa ili kuwasaidia watoto hao
More Information »
« Less Information
INSUFFICIENCY OF CLEAN WATER 0 Unverified
12:14 Jun 14, 2012
Maji ni tatizo Tandale kwa sababu ni muda mrefu Tandale maji safi ya kunywa hayatoki kwa hiyo maji yanaletwa na magari na mengine yanatoka sehemu...
More Information »
« Less Information
Categories
AccessibilitySOKO LA TANDALE LIMEBOLESHWA 0 Unverified
10:51 Jun 13, 2012
Kwa sasa maeneo ya Sokoni Tandale yameboleshwa kwa kuweka mabati maeneo ya soko ambapo kwa sasa watumiaji wa soko hawapatwi na jua wala mvua....
More Information »
« Less Information
Categories
SecurityMtu akamatwa kwa kuvuta bangi. 0 Unverified
13:06 Jun 10, 2012
Nipo hapa nashuhudia mtu anakamatwa kwa kuwa alikuwa anavuta bangi,hawa ni askari wa mtaa ambao wamechaguliwa kuangalia usalama wa Beach za...
More Information »
« Less Information
Gali la taka linakusanya taka 0 Unverified
06:32 Jun 10, 2012
Sasaivi gari la taka linapita kwenye maeneo ya Manzese wakikusanya taka na wanataka ulipie Tsh 3000.
More Information »
« Less Information
Categories
SanitationTAASISI IMEJITOKEZA KUDHAMINI WANANCHI KATIKA UJENZI WA VYOO 0 Unverified
01:49 Jun 09, 2012
Taasisi ya CCI (ushirika wa mikopo nafuu) imejitokeza kudhamini mikopo ya bei nafuu kwa wananchi wa mtaa wa Mkunduge ili waweze kujenga vyoo...
More Information »
« Less Information
Categories
AccessibilityTOPE LAZAGAA BARABARANI 0 Unverified
13:18 Jun 08, 2012
Katika barabra ya Tandale kwa Mtogole kuelekea Tandale Sokoni kumekuwa na tatizo sugu la kuzagaa kwa tope hali inayosabishwa na sababu zifuatazwo:-...
More Information »
« Less Information