Showing Reports From Aug 18, 2011 through Sep 09, 2012 Change Date Range

Or choose your own date range:

From: To: Go
1-20 of 22 Reports

Takataka zimezagaa barabarani 0 Verified

16:14 Sep 09, 2012

Katika maeneo ya tandale mkunduge nimekuta takataka zimetelekezwa barabarani, hi ni kutokana na kile kilichosemekana kuwa magari ya taka yalitakiwa... More Information » « Less Information

Morogoro rd, morogoro rd, kinondoni, dar es salaam, tanzania

Watu na mazingira 0 Verified

13:56 Sep 09, 2012

Maeneo ya Tandale mpakani mwa Muharitani na Mtogole kuna ununuzi wa chupa na vyuma chakavu kitu ambacho ni hatari kwa wakazi wa maeneo hayo.... More Information » « Less Information

Muharitani

Matengenezo ya kiwanda cha ukusanyaji wa Taka 0 Verified

13:02 Sep 09, 2012

Eneo la Tandale Kiboko Bar katika mpaka wa Mtogole na Muharitani kuna matengenezo ya kiwanda cha ukusanyaji wa taka kutoka kwenye majumba ya... More Information » « Less Information

Mtogole

Maji machafu maeneo ya mwenge 0 Verified

10:18 Aug 23, 2012

Kuna maji machafu ambyayo yanatoa harufu maeneo ya barabara ambayo inatoka mwenge stand. Yanatoa harufu sana, yanaweza yakawa yanatoka kwenye... More Information » « Less Information

University rd, university rd, kinondoni, dar es salaam, tanzania

MIFEREJI YAPULIZIWA SUMU KUPUNGUZA MBU. 1 Verified

13:41 Jul 31, 2012

Baadhi ya mifereji, mitaro na mabwawa katika mtaa wa Mtogole imepuliziwa sumu ili kuua Mbu waenezao Malaria na magonjwa mengine. wananchi... More Information » « Less Information

Tandale, Dar es Salaam, Tanzania

INSUFFICIENCY OF CLEAN WATER 0 Unverified

12:14 Jun 14, 2012

Maji ni tatizo Tandale kwa sababu ni muda mrefu Tandale maji safi ya kunywa hayatoki kwa hiyo maji yanaletwa na magari na mengine yanatoka sehemu... More Information » « Less Information

Mkunduge

Gali la taka linakusanya taka 0 Unverified

06:32 Jun 10, 2012

Sasaivi gari la taka linapita kwenye maeneo ya Manzese wakikusanya taka na wanataka ulipie Tsh 3000. More Information » « Less Information

Manzese.

TAASISI IMEJITOKEZA KUDHAMINI WANANCHI KATIKA UJENZI WA VYOO 0 Unverified

01:49 Jun 09, 2012

Taasisi ya CCI (ushirika wa mikopo nafuu) imejitokeza kudhamini mikopo ya bei nafuu kwa wananchi wa mtaa wa Mkunduge ili waweze kujenga vyoo... More Information » « Less Information

Mkunduge

Barabara Ya Tandale Sokoni imejengwa Na Sasa Inapitika Vizuri. 0 Unverified

17:15 Apr 22, 2012

Barabara ya Dandale Sokoni kwa sasa ni nzuri tu baada ya kuwa imejengwa na wale wafanya biashara wote ambao walikuwa wamepanga biashara zao... More Information » « Less Information

Morogoro Rd, Morogoro Rd, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania

Massive Production Of Wastes In Tandale Market. 0 Unverified

22:25 Jan 15, 2012

In tandale market there is a massive production of wastes from the fruits that are sold there. And due to the absence of waste container that... More Information » « Less Information

Bagamoyo Rd, Bagamoyo Rd, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania

Categories

Health

Vegitables Around The Dirty Areas 0 Unverified

05:00 Nov 09, 2011

In tandale there are areas where the community cultivate the vegitables for selling and get money and sometime they use as food (eating). But... More Information » « Less Information

Morogoro Rd, Morogoro Rd, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania

RAINING SEASON AT TANDALE 0 Unverified

09:17 Oct 09, 2011

If you would like to experience the worst part of tandale try to visit the place during rain season and you will experience the issue of poor... More Information » « Less Information

Tandale

Breeding Mosquito Larvae 5 Verified

13:46 Sep 02, 2011

Mosquito larve, a cause of malaria and sickness. More Information » « Less Information

Swamp

UJENZI HOLELA 6 Unverified

10:38 Aug 24, 2011

Kwa tumbo watu wanajenga nyumba bila mpangilio hivyo inasababisha msongamano wa nyumba, kuziba njia, nk kwa hiyo njia zinakuwa hazipitiki hasa... More Information » « Less Information

KWATUMBO

MAGONJWA SUGU 0 Unverified

11:37 Aug 22, 2011

Yafuatayo ni magonjwa sugu ambayo ni tatizo kubwa sana kwa wakazi wa eneo la mtogole na endapo wakazi wake wasipopata elimu ya kutosha kuhusiana... More Information » « Less Information

mtogole

TATIZO LA TAKA NGUMU 5 Unverified

09:04 Aug 22, 2011

kusambaa kwa taka ngumu mfano karatasi za plastic ambazo haziharibiki/haziozi mapema pia zinatupwa hovyo hovyo hasa katika vinjia vinavyopita... More Information » « Less Information

Muhalitani Tandale

MIFEREJI KUJAA TAKA 0 Unverified

08:49 Aug 22, 2011

Mifereji mingi ya mtogole imejaa taka na hii inatokana na wananchi wa mtogole wenyewe kutupa taka kwenye mifereji ya maji taka na kusababisha... More Information » « Less Information

MTOGOLE

Maji machafu 0 Unverified

11:47 Aug 19, 2011

Tumekuta maji yamejaa hadi kwenye makazi ya watu na maji hayo yanaonekana si salama kutokana na langi ya maji hayo, basiwatu wanaoishi eneo... More Information » « Less Information

Mtogole

MAZINGIRA 0 Unverified

10:09 Aug 19, 2011

Tatizo la uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na baadhi ya wakazi kuunganisha mabomba ya maji taka miferejini,taka kuzagaa vichochoroni,barabarani,vyoo... More Information » « Less Information

Kwatumbo

UKOSEFU WA VYOO 0 Unverified

09:50 Aug 19, 2011

UKWATUOSEFU MAALUM WA VYOO WASABABISHA WATU KUJISAIDIA SEHEMU ZISIZO MAALUM. More Information » « Less Information

PAKACHA

1-20 of 22 Reports
Total Reports Avg Reports Per Day % Verified
65 0.1 20%