Showing Reports From Aug 18, 2011 through Sep 09, 2012 Change Date Range

Or choose your own date range:

From: To: Go
1-20 of 65 Reports

Takataka zimezagaa barabarani 1 Verified

16:14 Sep 09, 2012

Katika maeneo ya tandale mkunduge nimekuta takataka zimetelekezwa barabarani, hi ni kutokana na kile kilichosemekana kuwa magari ya taka yalitakiwa... More Information » « Less Information

Morogoro rd, morogoro rd, kinondoni, dar es salaam, tanzania

Watu na mazingira 1 Verified

13:56 Sep 09, 2012

Maeneo ya Tandale mpakani mwa Muharitani na Mtogole kuna ununuzi wa chupa na vyuma chakavu kitu ambacho ni hatari kwa wakazi wa maeneo hayo.... More Information » « Less Information

Muharitani

Matengenezo ya kiwanda cha ukusanyaji wa Taka 0 Verified

13:02 Sep 09, 2012

Eneo la Tandale Kiboko Bar katika mpaka wa Mtogole na Muharitani kuna matengenezo ya kiwanda cha ukusanyaji wa taka kutoka kwenye majumba ya... More Information » « Less Information

Mtogole

Maji machafu maeneo ya mwenge 0 Verified

10:18 Aug 23, 2012

Kuna maji machafu ambyayo yanatoa harufu maeneo ya barabara ambayo inatoka mwenge stand. Yanatoa harufu sana, yanaweza yakawa yanatoka kwenye... More Information » « Less Information

University rd, university rd, kinondoni, dar es salaam, tanzania

Maji ya barabarani yanatoa harufu 0 Verified

14:02 Aug 15, 2012

Katika eneo la baresa kuna maji ambayo yanatoa harufu hii ni kwa sababu ya kujaa mda mrefu yakia hayajatolewa. More Information » « Less Information

Morroco rd, morroco rd, kinondoni, dar es salaam, tanzania

Land conflict at bonde la mpunga - msasani 0 Verified

12:14 Aug 14, 2012

The conflict where one man has built the building on the road so the community complaining about it, the ward excutive officer is here trying... More Information » « Less Information

Mkirikiti st, mkirikiti st, kinondoni, dar es salaam, tanzania

Walioteuliwa kusimamia zoezi la sensa waanza mafunzo 0 Verified

13:52 Aug 09, 2012

Leo yameanza rasmi mafunzo ya ukarani na ukarani uwandamizi ya sensa kata ya tandale, mafunzo hayo yanategemea kufanyika ndani ya siku kumi. More Information » « Less Information

tandale

MIFEREJI YAPULIZIWA SUMU KUPUNGUZA MBU. 1 Verified

13:41 Jul 31, 2012

Baadhi ya mifereji, mitaro na mabwawa katika mtaa wa Mtogole imepuliziwa sumu ili kuua Mbu waenezao Malaria na magonjwa mengine. wananchi... More Information » « Less Information

Tandale, Dar es Salaam, Tanzania

Watu wajitokeza kuomba ukarani na ukarani uandamizi wa Sensa 0 Unverified

13:36 Jul 26, 2012

Kufuatia zoezi la kuhesabiwa ambalo linataka kufanyika hapa nchini mwetu na watu wa Takwimu, watu wamejitokeza kwa wingi kuomba nafasi ya ukarani... More Information » « Less Information

Muharitani

DAWASCO WAKATA MIPIRA YA MAJI 0 Unverified

13:05 Jul 26, 2012

Shirika la maji safi na maji taka wamewashtukiza wakaazi wa mtaa wa muharitani na kukata mabomba maji ya watu wasiolipa bili na kuchukua matanki... More Information » « Less Information

Muharitani

SIKU YA MADAWA YA KULEVYA 2 Verified

13:20 Jun 29, 2012

Siku ya madawa ya kulevya imeadhimishwa katika wilaya ya kinondoni kata ya Tandale mgeni rasmi alikuwa waziri wa mambo ya ndani muheshimiwa... More Information » « Less Information

Sokoni

Infrastructure Improvement at Tandale Sokoni 0 Verified

09:30 Jun 24, 2012

There is an infrastructure improvement in Tandale Sokoni due to expected visit of Prime Minister of The United Repubric of Tanzania. The imrovement... More Information » « Less Information

Morogoro Rd, Morogoro Rd, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania

BENK JAMII 0 Unverified

13:54 Jun 18, 2012

Benk jamii{vicoba}katika kata ya Tandale wanachama wake wanakutana kila siku ya jumatatu saa kumi jioni. Mkutano huwa unajadili maendeleo yao. More Information » « Less Information

Pakacha

Categories

Security

KIKAO CHA KAMATI 0 Unverified

13:34 Jun 18, 2012

Kamati ya watoto yatima na waishio katika mazingira magumu katika mtaa wa kwatumbo imebuni mbinu za kupata pesa ili kuwasaidia watoto hao More Information » « Less Information

Kwatumbo

INSUFFICIENCY OF CLEAN WATER 0 Unverified

12:14 Jun 14, 2012

Maji ni tatizo Tandale kwa sababu ni muda mrefu Tandale maji safi ya kunywa hayatoki kwa hiyo maji yanaletwa na magari na mengine yanatoka sehemu... More Information » « Less Information

Mkunduge

SOKO LA TANDALE LIMEBOLESHWA 0 Unverified

10:51 Jun 13, 2012

Kwa sasa maeneo ya Sokoni Tandale yameboleshwa kwa kuweka mabati maeneo ya soko ambapo kwa sasa watumiaji wa soko hawapatwi na jua wala mvua.... More Information » « Less Information

sokoni

Categories

Security

Mtu akamatwa kwa kuvuta bangi. 0 Unverified

13:06 Jun 10, 2012

Nipo hapa nashuhudia mtu anakamatwa kwa kuwa alikuwa anavuta bangi,hawa ni askari wa mtaa ambao wamechaguliwa kuangalia usalama wa Beach za... More Information » « Less Information

Coco beach

Gali la taka linakusanya taka 0 Unverified

06:32 Jun 10, 2012

Sasaivi gari la taka linapita kwenye maeneo ya Manzese wakikusanya taka na wanataka ulipie Tsh 3000. More Information » « Less Information

Manzese.

TAASISI IMEJITOKEZA KUDHAMINI WANANCHI KATIKA UJENZI WA VYOO 0 Unverified

01:49 Jun 09, 2012

Taasisi ya CCI (ushirika wa mikopo nafuu) imejitokeza kudhamini mikopo ya bei nafuu kwa wananchi wa mtaa wa Mkunduge ili waweze kujenga vyoo... More Information » « Less Information

Mkunduge

TOPE LAZAGAA BARABARANI 0 Unverified

13:18 Jun 08, 2012

Katika barabra ya Tandale kwa Mtogole kuelekea Tandale Sokoni kumekuwa na tatizo sugu la kuzagaa kwa tope hali inayosabishwa na sababu zifuatazwo:-... More Information » « Less Information

Tandale Sokoni

1-20 of 65 Reports
Total Reports Avg Reports Per Day % Verified
65 0.1 20%