Ulinzi shilikishi ulioanzishwa na viongozi wa selekeli za mitaa katika kata ya tandale umesaidia kwa kiasi kikubwa kupungua kwa wizi wa uporaji uliokuwa umeshamili kwa kiasi kikubwa hasa nyakati za asubuhi.
Vijana hao wa ulinzi wameonekana wakifanya kazi zao vizuri na kuwakamata baadhi ya wezi wanaotaka kuiba,hivyo wa kazi wa tandale kwa sasa wako huru wanaposhuka kwenye magari na asubuhi wanapokwenda kupanda magari kwani ndio muda walio kuwa wakiporwa zaidi
Viongozi wa mitaa wanawaomba wananchi kutoa kuishilikiano kubaini waalifu na kutoa michango ya ulinzi ili zoezi hilo liwezi kudumu zaidi.
Tag Archives: Usalama
MAJI YAZAGAA MTAANI TANDALE
Maji safi na salaama ya Dawasco yame kuwa kero kubwa kutokana na kuzagaa mitaani na kuababisha magari na watu kupita kwa tabu baadhi ya sehemu,tatizo hilo linakuja kutokana na mabomba kuchakaa na kuvujisha maji.
viongozi wa mitaa ujitaidi kutoa taalifa kwa watu husika na wakija wanashuhulikia tatizo na baada ya siku chache tatizo uanza tena na kuleta kero tena.
tunawaomba wanahusika kulitizama tatizo hili kwa mapama kwani maji ni muhim sana hivyo tunavyoona yanamwagika huku wengine wakiyatafuta kwa galama kubwa.
maeneo yanayomwagika maji ni muhalitani, sokoni na mtogole naamini viongozi husika watalifanyia kazi tena kwa wakati ili kuondoa usumbufu kwa wananchi.
WATOTO NA USALAMA WAO
Watoto wengi wanapenda kucheza ili kujifulahisha katika michezo hiyo ipo mizuri na mibaya na nihatali kwao, kwao hiyo wanaitaji ulinzi na uangalizi wanapokuwa katika michezo yao.
Katika mto ngombe watoto hupenda sana kucheza lakini sio sehemu salama kwao kwani sehemu hiyo kuna wadudu wabaya na chupa zilizovuchika zinaweza zikawakata.
Wito kwa wazazi na walezi tuwachunge watoto wanapokuwa kwenye michezo yao ili kuwaepusha na majanga.
MAGARI CHAKAVU YATOLEWA BARABARANI
Magari yaliyokuwa kero kubwa hasa kwa watembea kwa miguu pamoja na waendesha baiskel yaliyokuwa yamejazana kando mwa barabara ya mandela road kuanzia eneo la mtogole hadi uzuri sasa yameondolewa kufuatia maagizo toka ngazi za juu.
Barabara imekuwa na nafasi ya watu kupishana bila matatizo yeyote yale tofauti na ilvokuwa mwanzo.
Baadhi ya watu wametoa maoni yao na kupongeza serekali kwa kulifanyia kazi swala hiro lilirokuwa kero kubwa.
MMVUA ZAANZA TAHATHALI ZITOLEWE
Msimu wa masika ndio umeanza lasmi hivyo viongozi husika wana jukumu la kuwambia wananchi wao hasa wale wanaoishi maeneo hatarishi kwa kutoa elimu na tahadhali kwa watu hao.
Mala nyingi sisi tumezoea jambo hadi litokee ndio watu wanachukua hatua wakati watu washaasilika na tukio.
Nawaomba viongozi mfanye hivyo kabla maafa hayajatokea kwa wanachi wenu .
KUNAITAJIKA ELIMU KABLA YA MAAFA YA MAFURIKO
Tatizo la mafuriko ni janga la kitaifa mbaya zaidi halina hodi wala taalifa linapokuja, limekuwa likiwaacha watu bila makazi wengine wakipoteza maisha kutokana mafuliko
Mimi nilikuwa nawaomba viongozi wa selekali za mitaa wapewe elimu ya kuwafikishia wanachi wao au taalifa kutoka mamlaka husika juu ya majanga ya mafuriko kuliko kutegemea kusikia kwenye vyombo vya habari.
TAKATAKA ZAJAA MITAANI
Zoezi la kufanya usafi kila mwezi naona limedorola hasa watu wengi kusahau hiyo siku yenyewe na kutowekea umuhim wa kujitolea kufanya usafi
Lakini pia kukosekana kwa magari ya kuzolea taka nalo imeonekana kuwa kikwazo kikubwa huku wengine wakihoji tukifanya usafi taka tunapeleka wapi
Hali isiyo ya kawaida taka zimeonekana zikiwa zimerundikana mitaani na nyingine zikiwa zinatoa wadudu, taka hizo zinatupwa vichochoroni na barabarani mida ya usiku ukitaka kujionea pita Tandale, Mwananyamala, Manzese NK.
WIZI BADO TATIZO TANDALE
TANDALE NA ZOEZI LA UGAWAJI NETI
Wakazi wa tandale wameanza kuandikishwa katika zoezi la ugawaji neti au vandarua, zoezi hiro limepokelewa na changamoto nyingi huku watu wakihoji je vitakua kama vya mwanzo ngumu na vidogo huku wengine wakikataa kuandikisha na kusema kuwa vinapunguza nguvu za kiume
pamoja na changamoto zote hizo watu wamelifulahia zoezi na kusema wanasubulia kwa hamu kubwa hizo neti kwani sasa hivi neti zina bei kubwa..
WATOTO NA MICHEZO HATARISHI
Watoto wanahitaji uangalizi hasa katika michezo yao wanaocheza na sehemu wanazotembelea .
kama watoto hawa wamekutwa wakicheza katika jalala la taka ambayo ni hatari kwao kwani wanaweza kujikata au kupata magonjwa ya mlipuko nilijalibu kuwafukuza hawakutaka kunisika.