S/KUU YA IDDI YAISHA KWA AMANI TANDALE

Sherehe ya sikukuu ya iddy katika kata ya tandale imekwisha kwa amani bila matukio ya ugomvi pamoja na wizi,watoto na wakubwa walishehelekea na kufulahi vizuri, huku jeshi la polisi likiwa dolia kwa ulinzi wa raia na mali zao..shelehe hizo zilianza baada ya swala ya iddy hadi majogoo..

hapa mashehe wakijadiliana jambo msikitini baada ya ibada..

hapa mashehe wakijadiliana jambo msikitini baada ya ibada..

hapa watoto wakiwa na wazazi wao wakifulahi..

hapa watoto wakiwa na wazazi wao wakifulahi..

Share

NI USIKU WA DAIMOND TANDALE

Baada ya kupeleka tuzo yake tandale,daimond ameamua kula idd pili na wakazi wa tandale.hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwao tandale muhalitani ulipofungwa mziki na watu kucheza.Baada ya kufika daimond aliimba baadhi ya nyimbo zake na kufanya wana tandale wamshangilie hasa pale alipoimba nyimbo ya nimpende nani watu walisema mpende wema yeye akabaki anacheka tu,aliwashukuru sana wana tandale na amesema umaarufu wake unatokana na tandale kwa hiyo awezi kuizarau tandale,ilipofika saa sita usiku hafla ilifungwa na watu walitawanyika.IMG_0012IMG_0006IMG_0013

Share

USTADHI YASSNI AHIMIZA AMANI S/KUU YA IDD

Ustadhi yassini na imamu wa msikiti wa masjidi bushiri uliyopo tandale muhalitani jana wakati wa swala ya iddi amewaimiza waislamu kutenda mambo yaliyo mema na kuacha vitendo vyote viovu,sio leo umefungulia unakwenda kukesha bar unakwenda kufanya fujo na kufunja amani kwa watu wengine.Tujitahidi tuishi kwa amani kama tulivokuwa tukiishi ndani ya  mwezi mtukufu..IMG_0006

Share

WANA TANDALE WASHELEHEKEA S/KUU YA IDD KWA AMANI

Wakazi wa tandale baada ya kuswali swala ya idd na kupata chakula cha mchana watoto kwa wakubwa wameshehelekea s/kuu ya idd kwa amani bila kutokea matatizo yoyote,mala nyingi katika s/kuu kama hizi utokea maafa ya watoto kugogwa na magari lakini hadi leo hakuna tukio lolote la ajali ya barabarani.

waumini wa kiislam wakimsikiliza shekhe akitoa hotuba ya idd

waumini wa kiislam wakimsikiliza shekhe akitoa hotuba ya idd

watoto wakitoka kupiga daku siku ya idd

watoto wakitoka kupiga daku siku ya idd

Share