MAJANGA S/KUU YA X-MAS

Majanga makubwa yametokea siku ya s/kuu ya x-mas, majanga hayo yametokea maeneo ya tanesco baada ya gari aina DCM toyota kuacha njia na kwenda kvamia nyumba ya watu na kujeruhi watu waliokua wamelala. tukio hilo limetokea mida ya saa 4; usiku na hakuna mtu aliyekufa zaidi ya watu kujeruhiwa na kupelekwa hospital.IMG_0087

Share

TAKA ZATUPWA BARABARANI KIBOKO BAR

pamoja na juhudi za selekali kutengeneza barabara ya kiboko bar iliyokuwa kero kubwa kwa wakazi wa tandale sasa barabara hiyo imekwisha na inapitika, lakini imekuwa dampo kwa watu kutupa taka barabarani na kufanya taka zizagae ovyo wakati ni atali kwa afya.mwenyekiti wa mtaa wa mtogole na muhalitani tayali wameeka ulinzi na azabu kali kwa atayekamatwa akitupa taka katika maeneo hayo.

hizi ni taka zilizotupwa barabarani kiboko bar

hizi ni taka zilizotupwa barabarani kiboko bar

 

Share

WANACHI WA TANDALE NA MAONI YA KATIBA

Wanachi wa tandale wengi wametoa maoni juu ya lasimu ya kwanza ya katiba na kusema muundo wa selekali tatu wao hawaiyungi mkono bora ubaki muundo uleule wa selekali mbili, pia wameunga mkono swala la mgombea binafsi pamoja na uraia wa nchi mbil, hayo yamezungumzwa kwenye kikao cha wanachama wa ccm wakijadili lasimu ya katiba, kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa ccm mtogole.

mtoa mada akiwasilisha maoni kwa wanachama wa ccm

mtoa mada akiwasilisha maoni kwa wanachama wa ccm

Share

NI WAJIBU WETU KUTUNZA MAZINGIRA

Kitendo cha kutunza mazingira ni wajibu wetu sisi wenyewe, lakini imekua tofauti kabisa watu wameanza kutupa takataka katika barabara ya kiboko bar ambayo ujenzi wake bado haujaisha, hivyo nawaomba wakazi wenzangu wa tandale sisi ndio tuwe walinzi hasa kwenye barabara yetu hiyo ambyo ilikaa muda mlefu bila kutengenezwa na tulikua hatuna ndoto kama itajengwa. Hivyo imejengwa na inapitika tuilinde ili itusaidie wote, chukua hatua  ukimuona mtu anatupa taka barabarani au akifanya kitendo chochote kile cha ualibifu.

hii ndio kiboko bar ya zamani.

hii ndio kiboko bar ya zamani.

hii ndio kiboko bar mpya
hii ndio kiboko bar mpya

 

Share

HATARI KUCHEZA NA DARAJA

Hatari kucheza na daraja kuninginia au kukaa. kuna baadhi ya vijana na watoto upenda kukaa katika daraja jipya la kiboko bara huku wakipiga story na wengine kuninginia katika daraja hilo. uongozi wa mtaa husika na wanachi kwa ujumla tunaombwa tulikemee tatizo hilo kwani tusipofanya hivyo daraja halitachelewa kualibika.

vijana na watoto wakiwa kwenye daraja

vijana na watoto wakiwa kwenye daraja

watoto wakiwa juu ya daraja

watoto wakiwa juu ya daraja

Share