MASHINDANO YA CHIEF CUP BADO KIPIMA JOTO

Mashindano ya mpira wa miguu ya chief cup bado ni kipima joto kwa timu zinazoshiliki.timu nyingine tayali zimejiakikishia kuingia kwenye atua ya robo fainali, huku nyingine zikingojea na kuomba dua mwenzake afungwe ili yeye apite.Ukweli mashindano hayo yamekuja na sura ya tofauti kabisa na kujizolea mashabiki wengi nyakati za jioni wakishuhudia mashindano na vipaji vya vijana chipikizi.

hapa watu wamefulika uwanjani wakitizama mpira.

hapa watu wamefulika uwanjani wakitizama mpira.

hapa napo watu wapo makini kufuatilia mchezo.

hapa napo watu wapo makini kufuatilia mchezo.

Share

KAMATI YA MASHINDANO YA CHIEF CUP YASTAHILI PONGEZI

baadhi ya wajumbe wa kamati ya mashindano ya chief cup

baadhi ya wajumbe wa kamati ya mashindano ya chief cup

Kamati ya mashindano ya chief cup yanayoendelea katika uwanja wa tandale elimu inastahili pongezi kubwa, hasa kwa kusimamia na kulatibu vizuri mashindano hayo bila kupata lawama yeyote ile.kamati hiyo ikiongozwa na YAHYA TOSTAU pamoja na VISENT BANABASI hadi sasa inafanya kazi vizuri kwa kufuata sheria na taratibu zote walizoweka.

Share

MASHINDANO YA CHIEF CUP YAPAMBA MOTO

Mashindano ya mpira wa miguu ya CHIEF CUP yamepamba moto baada ya kuanza kwa hamasa kubwa, mashindano hayo bado yapo kwenye atua ya mzunguko na hadi sasa timu zilizoshinda ni KIBOKO FC, BAYEN MISOSI na MAFONGO huku zinginge zikitoka sale. watu wengi wa lika zote ujitokeza uwanjani kutizama timu zao.

mashabiki wakifuatilia mchezo huku wakishangilia

mashabiki wakifuatilia mchezo huku wakishangilia

 

Share

MASHINDANO YA CHIEF CUP YAKALIBIA KUANZA

Mashindano ya mpira wa miguu yanakalibia kuanza, kamati ya mashindo hayo ipo kwenye atua za mwisho za uhakiki wa timu na mambo mengine,mashindano yamezaminiwa na mwenyekiti wa selekali ya mtaa wa tumbo ndugu.ABDULY AZIZI a.k.a CHIEF. mashindano hayo yatafanyika katika uwanja wa shule ya msingi tandale elimu au tandale maguniani.

mwenyekiti wa mtaa wa tumbo mwenye suti ndie aliyeandaa mashindao hayo hapa yupo na viongozi wenzie.

mwenyekiti wa mtaa wa tumbo mwenye suti ndie aliyeandaa mashindao hayo hapa yupo na viongozi wenzie.

Share