BARABARA YACHIMBIKA

Barabara ya mlandizi road inayoanzia magomeni hadi kanisani hadi sinza kijiweni imehalibika kwa kuchimbika na kusababisha magari kupita kwa tabu na muda mwingine usababisha foleni kubwa, barabara hiyo imeahalibika maeneo ya kituo cha shule mtogole na darajani,wananchi wamewaomba viongozi wanaohusika kulifanyia kazi ili kuondoa tatizo hilo..

gari zikipita pembeni kupisha ujenzi wa barabara

gari zikipita pembeni kupisha ujenzi wa barabara

Share

DARAJA LA MANJUNJU LABOMOKA

Daraja linarounganisha Tandale na Mwananyamala liliropo katika mtaa wa mkunduge limebomoka na mmvua za mafuliko kwa kuchimbika,limesababisha hadi magari kupita kwa tabu, daraja hiro limekuwa msaada kwa wakazi wa tandale na mwananyamala kwa njia ya mkato,wakazi wa karibu wamewaomba viongozi wanahusika kulikarabati halaka kabla halijabomoka kabisa..

gari likiwa limenasa katika maeeneo ya mkunduge

gari likiwa limenasa katika maeeneo ya mkunduge

hili ndio daraja la manjunju

hili ndio daraja la manjunju

Share

BARABARA YA KWA TUMBO HADI SOKONI YATIWA RAMI

Barabara inayotoka kwa tumbo kwenda hadi sokoni tandale ipo kwenye hatua za mwisho kuwekwa rami, hayo yamesemwa na mwenyekiti wa mtaa wa kwa tumbo ndugu abduly azizi (chief) kwenye mkutano..barabara hiyo iliyokuwa kero kubwa hasa kipindi cha mmvua, wafanya biashara wa soko la tandale nao wamesema imekuwa lahisi kwao kutokana na wateja wao kupata usafili tofauti na ilivokuwa mwanzo..

hapa ni eneo la sokoni kabla ya kuweka lami

hapa ni eneo la sokoni kabla ya kuweka lami.picha na ashiru issa

wanachi wakipita katika barabara ya tandale iliyowekwa mfano wa lami.picha na ashiru issa

wanachi wakipita katika barabara ya tandale iliyowekwa mfano wa lami.picha na ashiru issa

Share

SOKO LA TANDALE LAKALABATIWA

Njia ya inayokwenda sokoni tandale kupitia kwa tumbo imekalabatiwa kwa kuweka vifusi na eneo la soko ikiwekwa lami chafu, barabara hiyo iliyokua imealibika sana kipindi cha mvua na kushindwa kupitika na kufanya eneo la soko kuwa chafu, hivi sasa inapitika ila ingewekwa matuta kwa usalama zaidi kwa waenda kwa miguu.

hapa ni eneo la sosko la tandale palipowekwa lami chafu.

hapa ni eneo la sosko la tandale palipowekwa lami chafu.

wanachi wakipita katika barabara ya tandale iliyotengenezwa.

wanachi wakipita katika barabara ya tandale iliyotengenezwa.

Share

BARABARA YA TANDALE UZURI YAZIBWA VIRAKA

Barabara ya tandale uzuri imetengenezwa kwa kulepewa kwa zile sehemu zilizochimbika na kuweka lami mpya, barabara hiyo ilikua imealibika kutokana na mvua zilizokua zikinyesha na kufanya iwe na mashimo kile sehemu, wakazi wa tandale wameishukuru selekali kwa ukalabati huo.

hapa barabara ikitengenezwa

hapa barabara ikitengenezwa

gari zikipita pembeni kupisha ujenzi wa barabara

gari zikipita pembeni kupisha ujenzi wa barabara

Share

NI WAJIBU WETU KUTUNZA MAZINGIRA

Kitendo cha kutunza mazingira ni wajibu wetu sisi wenyewe, lakini imekua tofauti kabisa watu wameanza kutupa takataka katika barabara ya kiboko bar ambayo ujenzi wake bado haujaisha, hivyo nawaomba wakazi wenzangu wa tandale sisi ndio tuwe walinzi hasa kwenye barabara yetu hiyo ambyo ilikaa muda mlefu bila kutengenezwa na tulikua hatuna ndoto kama itajengwa. Hivyo imejengwa na inapitika tuilinde ili itusaidie wote, chukua hatua  ukimuona mtu anatupa taka barabarani au akifanya kitendo chochote kile cha ualibifu.

hii ndio kiboko bar ya zamani.

hii ndio kiboko bar ya zamani.

hii ndio kiboko bar mpya
hii ndio kiboko bar mpya

 

Share