MBUNJU CUP YASIMAMISHWA

Mashindano ya MBUNJU CUP yamesimamishwa na chama cha mpira wa miguu kinondoni KIFA. mashindano hayo yamesimamishwa baada ya timu ya nyangumi kwenda kukata rufaa kwa kutolewa na chama hicho kusema mashindano hayo hawayajui na hayana kibali toka kwetu na kuamua kuyasimamisha hadi hapo muafaka utapopatikana.

Share

One thought on “MBUNJU CUP YASIMAMISHWA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook