KIKUNDI CHA MAENDELEO TANDALE CHAUNDWA

Kikundi cha maendeleo tandale kimeundwa kwa ajili ya kufanya maendeleo katika kata ya tandale. kikundi hicho kikiwa chini ya HANNS SEIDEL FOUNDATION East africa tanzania ofice wakishilikiana na agenda 2000.katika vitu ambavyo wataanza navyo ni jinsi ya kupata shule ya sekondari ya kata ya tandale.

Share

One thought on “KIKUNDI CHA MAENDELEO TANDALE CHAUNDWA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook