MBUZI WAZAGAA MITAANI

katika mtaa wa sokoni kuna kundi la mbuzi wanaozagaa hovyo bila kuchungwa na mtu mbuzi hao wamekua kero kutokana kualibu mali za watu na kualibu mazingira.hivyo watu wengi wakiwaona uwakimbiza na kukimbilia bondeni maeneo ya chaka.

Share

One thought on “MBUZI WAZAGAA MITAANI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook