Mashindano ya Mpira wa miguu(Mbunju CUP)

Tandale katika msimu huu kuna mashindano ya mpira yanayoitwa Mbunju CUP yaliyodhaminiwa na Diwani wa Kata ya Tandale Jumanne Amir Mbunju, ambapo yamekusanya timu tofautitotauti za kata ya Tandale. Leo tarehe 9/9/2012 ilikuwa inacheza Tanesco FC na Misosi FC zote kutoka Tandale. Katika mashindano hayo bado yako katika hatua ya mzunguko ambapo mshindi wa kwanza atapewa Jezi za timu.

 

Share

One thought on “Mashindano ya Mpira wa miguu(Mbunju CUP)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook