BARABARA YA MLANDIZI ROAD MASHIMO YAMEZIDI

Barabara ya mlandizo road inayoanzia magomeni moroco kupitia Tandale hadi sinza kijiweni imekuwa na mashimo mengi na kufanya magari kupita kwa tabu kukwepa masimo hayo.
Tunawaomba viongozi wanaousika kulifanyia kazi ili barabara hiyo irudi katika ubora wake, kwani njia hiyo ni kubwa na inaunganisha na kata zingine za jilani na muda wa jioni kunakuwa na foleni kubwa hasa maeneo ya mtogole kwenye kona ya kuendea kijitonyama.
Naamini viongozi husika watalifanyia kazi na kulifikisha katika ngazi husika ili barabara hii ilekebishwe.

hapa eneo la tanesco gari  zikiwa zimegongana.

hapa eneo la tanesco gari zikiwa zimegongana.

IMG_5503

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook