MKUTANO WA HADHARA MUHALITANI

Mwenyekiti wa selekali ya mtaa wa muhalitani ametangaza mkutano wa hadhara leo 3/05/2015 utaofanyika shule ya msingi tandale maghalibi kuanzia saa 8 nane mchana.. Lengo la kuitisha mkutano huo ni kujadili swala la ukabaji katika mtaa huo na mambo mengine yanayohusu mtaa kwa ujumla..

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook