DAIMOND ALETA TUZO TANDALE

Mwanamuziki kipenzi cha watu wengi nchini tanzania na afrika kwa ujumla leo amefanya tukio lilirowafulahisha wengi hasa wakazi wa tandale alipopeleka tuzo yake aliyoipata nchini malekani.Daimond amefanya hivyo huku akiwa na msafara mkubwa wa magari pikipiki pamoja na wapenzi na mashabiki wake wakimshangilia,Alipofika nyumbani alipozaliwa na kulelewa tandale alishuka ndani ya gari na kutembea kwa miguu huku akiimba,baada ya kufulahi pamoja na wana tandale aliondoka sinza anapoishi.IMG_0009IMG_0016

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook