SHANGWE ZA IDD ZAFANA TANDALE

Katika kushelekea sikukuu ya idd watoto na wakubwa jana wameshelekea sikukuu hiyo kwa amani, hasa watoto wameonekana wakiwa wamependeza kila kona ya tandale,kumbi mbalimbali za burudani zilifulika watu na kufanya shangwe za idd tandale zifane.Hadi leo hakuna taalifa yeyote ya ajali au kupotea mtu.IMG_0001

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook