Afisa elimu wa kata ya tandale ndugu Selemani mohamedi amesikitika sana baada ya kuona ndani ya kata ya tandale hakuna shule ya sekondari amewaomba wadau na mashirika yasiyo ya kiselekali kuhimizana na kulisemea kwa nguvu zote swala hili kwenye ngazi ya selekali kwani ni jambo linalowezekana..Ameyasema alipokuwa kwenye kikao cha Tandale club kilichofanyika kwenye ukumbi wa mexico hotel..Ameaidi kushirikiana na mashirika pamoja na vikundi vya maendeleo kuona shule ya sekondari inapatikana.