DAWASCO WAKATA MIPIRA YA MAJI MUHALITANI

shilika la maji safi na maji taka wamevamia mtaa wa muhalitani na kukata mabomba ya watu wasiolipia bili na kuchukua mantak ya maji na mengine kuyaacha, zoezi hilo limefanyika chini ya viongozi wa dawasco na mwenyekiti wa mtaa wa muhalitani

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook