MSIMU WA MATUNDA WAANZA TANDALE

Msimu wa matunda waanza katika soko la tandale,matunda hayo yanayoingia kwa wingi sokoni hapo ni maembe mananasi pamoja na mafenesi.soko la tandale ni kubwa hasa kwa mazao ya chakula, matunda pamoja na mitumba, viongozi wa soko wameomba watu watunze mazingira ili kuepuka magonjwa ya mlipuko.IMG_2545

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook