SHULE YA MSINGI MUHALITANI YAZUNGUSHIWA UKUTA

Shule ya msingi muhalitani imezungushiwa ukuta kwa ajili ya usalama wa wanafunzi   hatua hiyo ilifuata baada ya wafadhili wa mradi wa maji kuweka kituo cha maji katika eneo la shule hiyo, kiukweli walimu wamefulahi kwa ujenzi huo pia imewalasishia kwa ulinzi

huu ndio ukuta wa shule uliowekwa hivi karibuni

huu ndio ukuta wa shule uliowekwa hivi karibuni

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook