Barabara ya bi mtumwa imetiwa kifusi cha kokoto ili kuifanya njia hiyo kupitika vizuri, njia hiyo ni kubwa inayounganisha sehemu kubwa ya wakazi wa tandale, ilikuwa kero kubwa hasa kipindi cha mvua zikinyesha.