MRADI WA MAJI YETU WAKARIBIA KUMALIZIKA

Mradi wa maji yetu unakaribia kumalizika, mradi huo unaotalajiwa kukabiziwa kwa wananchi wa tandale ili kuusimamia, kauli hiyo imetoka kwenye kikao kilichofanyika katika ofisi ya afisa mtendaji wa kata ta tandale kati ya wasimamizi wa mradi na wanachama wa maji yetu.

hii ni sehemu yatapoifaziwa maji

hii ni sehemu yatapoifaziwa maji

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook