KUZAGAA KWA MBUZI BADO TATIZO

Kuzagaa kwa mbuzi bado tatizo kubwa katika mtaa wa sokoni, mbuzi hao hawajulikani ni wanani wanazagaa ovyo na kula vitu vya watu, na muda mwingine ushinda katika mto wa kiboko bar.

mbuzi wakizurula kwenye mitaa ya sokoni.

mbuzi wakizurula kwenye mitaa ya sokoni.

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook