WATOTO NA MICHEZO YAO

Watoto wanapenda sana michezo bila kuangalia ule mchezo wachezao kwao una usalama gani.IMG_5629 watoto hawa wamekutwa wakicheza juu ya mti huku wenzao wengine wakishangilia na wengine kuwatupia mawe wenzao. nawaomba wazazi na walezi tuwe makini na watoto wetu hasa sehemu wanazopenda kwenda kucheza. watoto hao waliondoka baada ya kufukuzwa.IMG_5630

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook