ENEO LA MAKABURI YA BI MTUMWA WATU WAGEUZA DAMPO

Eneo la makaburi ya bi mtumwa watu wamegeuza dampo kwa kutupa taka, ni hatari kubwa sana hasa sehemu iliyotengwa kwa ajili ya kuzikia watu kugeuza eneo la kutupia taka, tunaomba uongozi wa mtaa husika uchukue hatua za halaka kukomesha tatizo hilo pia ikiwezekana liandikwe tangazo la onyo na malufuku kutupa taka eneo hilo kama sehemu nyingine walivyoeka.

hili ndio eneo la makaburi watu wanapotupa taka

hili ndio eneo la makaburi watu wanapotupa taka

hili ndio eneo la makaburi watu wanapotupa taka

hili ndio eneo la makaburi watu wanapotupa taka

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook