Mvua Tandale

Katika siku tatu zilizopita mvua zimekuwa zikinyesha maeneo mengi ya Dar es salaam, Tandale ni moja ya eneo ambalo mvua imenyesha. Kama inavofahamika kwa Tandale, ni eneo ambalo maji hujaa mitani kwa kuwa hamna miundo mbinu ya kupeleka maji kunakohusika.

Maji yamefika katika madilisha ya nyumba

Maji yamefika katika madilisha ya nyumba

IMG_5014

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook