KUNAITAJIKA ELIMU KABLA YA MAAFA YA MAFURIKO

Tatizo la mafuriko ni janga la kitaifa mbaya zaidi halina hodi wala taalifa linapokuja, limekuwa likiwaacha watu bila makazi wengine wakipoteza maisha kutokana mafuliko
Mimi nilikuwa nawaomba viongozi wa selekali za mitaa wapewe elimu ya kuwafikishia wanachi wao au taalifa kutoka mamlaka husika juu ya majanga ya mafuriko kuliko kutegemea kusikia kwenye vyombo vya habari.

haya ni baadhi ya mafuliko watu wakitizama

haya ni baadhi ya mafuliko watu wakitizama

hapa watu wakiangalia maji yakiingia ndani ya nyumba zao na kushindwa kuyazuia

hapa watu wakiangalia maji yakiingia ndani ya nyumba zao na kushindwa kuyazuia

hapa maji yakikalibia kuingia ndani

hapa maji yakikalibia kuingia ndani

Share

MCHACHUKO WACHEZA MOVIE

Mchachuko group wanasema wale wote wapenzi wa COMED wakae mkao wa kula kwani tayali wamemaliza kucheza Movie yao jina wanalihifazi
Katika Movie hiyo wapo wasanii wakongwe pamoja na Anda ground katika kudogesha zaidi wasanii hao wamejituma kila mmoja kwa nafasi yake
Hayo yamesemwa na kiongozi wa kundi hilo ndugu MESHACK au sukari ya walembo,amesisitiza zaidi kuwa komed hiyo ni nzuri na inafundisha na kuchekesha kwa hiyo anaomba ikitoka wadau muisapoti kwa kununua.

mmoja wa washiriki katika movie

mmoja wa washiriki katika movie

Meshack akisalimia na mmoja wa washiliki

Meshack akisalimia na mmoja wa washiliki

Share

WANAWAKE WATAKIWA KUJITAMBUA

Baadhi ya watu wametoa maoni yao juu ya siku ya wanawake na kusema wanawake wangi hawajitambui kwa hiyo wanatakiwa wapewe elimu ya utambuzi watajikinga
Katika kuchangia hoja hiyo mmoja alisema kwa mfano wangejitambua kwanza kwenye mavazi na kufanyishwa maonyesho ya kuwa uchi hii sababu kubwa hawajitambui
Pamoja na hayo yote yaliyoongeleka wamewaomba viongozi husika kuwasimamia wanawake na kuwapa elimu ya utambuzi ili kukomesha matatizo yanayojitokeza kwa wanawake.

hapa wanawake wakiwa mtaani kwenye kutunzana

hapa wanawake wakiwa mtaani kwenye kutunzana

Share

TAKATAKA ZAJAA MITAANI

Zoezi la kufanya usafi kila mwezi naona limedorola hasa watu wengi kusahau hiyo siku yenyewe na kutowekea umuhim wa kujitolea kufanya usafi
Lakini pia kukosekana kwa magari ya kuzolea taka nalo imeonekana kuwa kikwazo kikubwa huku wengine wakihoji tukifanya usafi taka tunapeleka wapi
Hali isiyo ya kawaida taka zimeonekana zikiwa zimerundikana mitaani na nyingine zikiwa zinatoa wadudu, taka hizo zinatupwa vichochoroni na barabarani mida ya usiku ukitaka kujionea pita Tandale, Mwananyamala, Manzese NK.

uchafu uliotupwa pembezoni mwa ukuta..

uchafu uliotupwa pembezoni mwa ukuta..

hapa ni maeneo ya manzese taka zikiwa zimezagaa

hapa ni maeneo ya manzese taka zikiwa zimezagaa

hizi ni taka zilizotupwa barabarani.

hizi ni taka zilizotupwa barabarani.

Share

MAGARI CHAKAVU TATIZO TANDALE

Biashara ya kuuza spea za magari imekua maarufu sana hasa katika eneo la Tandale mtogole na muhalitani huku magari mabonvu yakiwa yameekwa pembeni
wakazi wa maeneo hayo wamelalamikia kitendo cha magari hayo chakavu kuwekwa pembeni inawasababishia watembea kwa miguu kupata tabu kupita huku wengine wakiwalaumu viongozi wa mtaa kulifumbia macho tatizo hiro
Wanawaomba viongozi walifanyie kazi sio kuwazuia kufanya biashara bali kutoa hayo magari chakavu pembezoni mwa barabara.

haya ni magari yaliyo kuwa pembezoni mwa barabara tandale

haya ni magari yaliyo kuwa pembezoni mwa barabara tandale

DSCF3456

Share