UCHAGUZI WAISHA KWA AMANI TANDALE

Uchaguzi uliofanyika 25/10/2015 mwaka huu katika kata ya tandale umekwisha kwa amani,uchaguzi huo ulikuwa na changamoto nyingi hasa za vijana kujitokeza kwa wingi kwenye kupiga kura, hakuna mtu aliyepigwa au kuumia zaidi ya watu kuibiwa wakiwa kwenye mikusanyiko ya watu wengi ya kushangilia ushindi wa diwani wao.hadi sasa hali ipo shwari hakuna tatizo lolote.

Hapa wananchi wakiwa kwenye mkutano wa mgombea .

Hapa wananchi wakiwa kwenye mkutano wa mgombea .

Hapa watu wakiwa kwenye foleni ya kupiga kura.

Hapa watu wakiwa kwenye foleni ya kupiga kura.

Share

KINONDONI NA MABADIRIKO

Jimbo la kinondoni limefanya mabadiriko makubwa ngazi ya kata na jimbo la kinondoni kwa ujumla,katika kata kumi za jimbo la kinondoni tayari kata sita zipo mikononi mwa upinzani na mbunge anayemaliza muda wake mhe,Iddi Azani akielekea kushindwa,mabadiriko hayo yamewafanya vijana wenge wakishangilia na kusema malofa tumeshinda..Mimi nawatakia uongozi mwema kwa wale wote waliochaguliwa katika jimbo hiro..

huyu ndie Mauridi Mtulia mgombea ubunge jimbo la kinondoni kupitia CUF

huyu ndie Mauridi Mtulia mgombea ubunge jimbo la kinondoni kupitia CUF

Share

MBUNJU KIDEDEA TANDALE

Mgombea udiwani kwa nafasi kwa tiketi ya CUF ndugu Jumanne Amiri Mbunju jana wananchi na wakazi wa tandale jana wamepiga kura na kuamua yeye ndie awe diwani wao mpya 2015-2020.katika vituo vingi vilivopigwa kura ameonekana kuongoza na kumuacha mbali mpinzani wake ndugu Tamimu O Tamimu kwa mbali..Shangwe na ndelemo zilizagaa katika mitaa yote sita ya kata ya tandale wakishangilia ushindi huo baada ya kutangazwa na msimamiza wa uchaguzi..

mwenye shati jeupe ndie MBUNJU diwani aliyeshinda tandale.

mwenye shati jeupe ndie MBUNJU diwani aliyeshinda tandale.

hawa ndio wananchi waliompa kura MBUNJU

hawa ndio wananchi waliompa kura MBUNJU

Share

PLESHA YA WAPIGA KURA IPO JUU TANDALE

Plesha ya wapiga kura imekua juu hasa katika kipindi hiki cha mwisho,miongoni mwa wapiga kura na wapenzi wa vyama vyao kila mmoja ana imani kuwa chama chake kitashinda kwa ngazi zote tatu,huku wote wakipeperusha bendera za vyama vyao barabarani na wakirudi kwenye mikutano wakipita na kuimbana..25/10/2015 ndio itakua itimimsho na matambo yote yanayoendelea sasa..

Huyu ni mgombea udiwani tandale kupitia ccm TAMIM OMARY. picha na Ashiru issa

Huyu ni mgombea udiwani tandale kupitia ccm TAMIM OMARY. picha na Ashiru issa

Share