WANAFUNZI WAWAAGA WENZAO

Wanafunzi wa shule ya msingi hekima ya Tandale wamewaaga wenzao wa darasa la saba kabla hawajafanya mtihani,hafla hiyo imefanyika hapohapo shuleni wazazi pamoja na wanafunzi walishiliki katika kuwaaga,walimu nao walitoa nasaha zao na kuwatakia mtihani mwema na masomo mema ya sekondari.

Hapa wanafunzi wakicheza mpira.

Hapa wanafunzi wakicheza mpira.

Share