WANA CCM WAJITOSA UDIWANI TANDALE

Wanachama wa chama cha mapinduzi ccm wapatao tisa wamejitokeza na kuchukua fomu za kugombea udiwani kata ya tandale,waliomba ni BARNABASI MKOBA,SALEHE MSHATI,TAMIMU,ROSEMARY NYAGAWA, SWEDI,ZINDUNA KIMBONEKA NA MASABURI.. hao wote watasimama kwa wanachama wao na kuomba lizaa ya kuchaguliwa ili kupeperusha bendera ya ccm..

huyu ndie kamanda wa vijana muhalutani.picha na Ahiru issa

huyu ndie kamanda wa vijana muhalutani.picha na Ahiru issa

Share

S/KUU YA IDDI YAISHA KWA AMANI TANDALE

Sherehe ya sikukuu ya iddy katika kata ya tandale imekwisha kwa amani bila matukio ya ugomvi pamoja na wizi,watoto na wakubwa walishehelekea na kufulahi vizuri, huku jeshi la polisi likiwa dolia kwa ulinzi wa raia na mali zao..shelehe hizo zilianza baada ya swala ya iddy hadi majogoo..

hapa mashehe wakijadiliana jambo msikitini baada ya ibada..

hapa mashehe wakijadiliana jambo msikitini baada ya ibada..

hapa watoto wakiwa na wazazi wao wakifulahi..

hapa watoto wakiwa na wazazi wao wakifulahi..

Share

WANGE UYEE PRODUCTION BADO YATAFUTA WAZAMINI

Kundi zima la WANGE UYEE lenye masikani yake tandale muhalitani bado lipo halakati za kutafuta wadhamini ili kufanikisha malengo.kundi hiro la linalocheza michezo ya kuigiza tayari imefanikiwa kucheza michezo miwili ambayo ni ULITHI WA MOTO na NDISELA ambazo bado hawajazipatia soko la kuuza, ivyo inawaomba wadau na wapenzi wajitokeze ili kulisaidia kundi hiro ili liweze kusonga mbele..

hapa wasanii wa kundi la wange uyee wakiwa kwenye picha ya pamoja..picha na Ashiru issa

hapa wasanii wa kundi la wange uyee wakiwa kwenye picha ya pamoja..picha na Ashiru issa

Share

IDDY APATA WAPINZANI

Mbunge wa jimbo la kinondoni mhe, IDDY AZANI amepata wapinzani baada ya watu kuanza kujitokeza na kutia nia za kugombea ubunge katika jimbo la kinondoni..miongoni wa watu waliojitokeza ni mr LUSAJO WILE yeye ametia nia baada ya mazungumzo na vijana wa Tandale na kusema muda ukifika atachukua fomu ya kugombea na kuomba vijana wamuunge mkono..

mhe, IDD AZANI akiteta jambo na mwenyekiti wa vijana wa kinondoni

mhe, IDD AZANI akiteta jambo na mwenyekiti wa vijana wa kinondoni

hapa wana ccm wakiwa kwenye mkutano

hapa wana ccm wakiwa kwenye mkutano

Share

BARABARA YACHIMBIKA

Barabara ya mlandizi road inayoanzia magomeni hadi kanisani hadi sinza kijiweni imehalibika kwa kuchimbika na kusababisha magari kupita kwa tabu na muda mwingine usababisha foleni kubwa, barabara hiyo imeahalibika maeneo ya kituo cha shule mtogole na darajani,wananchi wamewaomba viongozi wanaohusika kulifanyia kazi ili kuondoa tatizo hilo..

gari zikipita pembeni kupisha ujenzi wa barabara

gari zikipita pembeni kupisha ujenzi wa barabara

Share