TUTAWAKUMBUKA KWA MEMA YENU

Baadhi ya wanachi wa mitaa tofauti ya tandale wametoa maoni yao juu ya viongozi wa mitaa waliomaliza muda wao,na kusema watawakumbuka sana kwa mema yao waliyoyafanya wakiwa madarakani..ABDULY AZIZI CHIEF watu wa kwatumbo watamkumbuka sana kwa kuanzisha vikundi mbalimbali vya maendeleo na kusimamia vema ujenzi wa barabara tumbo hadi sokoni,huyu yeye aliangushwa na MOHAMEDI Hassan wa cuf..TAMIMU wa mkunduge yeye atakumbukwa kuwa ndie kiongozi pekee aliyekaa muda mlefu madarakani, alihama cuf na kuhamia ccm yeye pia aliangushwa na mgombea wa cuf..SALUM KABANGA mstafu wa mtogole yeye chama hakimrudisha japo alishinda kwenye kura za maoni na hiyo imechangia mwanae kujitoa ccm na kujiunga chadema,wakazi wa mtaa wa mtogole wanampenda sana kwa kuwaweka watu karibu na kulimudu vema swala la wizi na mpolaji mtaa wa mtogole nafasi yake imechukuliwa na NASORO SIMBA wa ccm..wakazi wa muhalitani wanamwita BANABA au BANABAS MKOBA

hapa yupo nasri mbegu wa kwanza wapili ni chief watatu mzee kiseto picha na Ashiru issa

hapa yupo nasri mbegu wa kwanza wapili ni chief watatu mzee kiseto picha na Ashiru issa

ni kiongozi aliyemaliza muda wake kwa mafanikio baada ya kusimamia upanuzi wa mto ngombe na ujenzi wa barabara ya kiboko bar iliyokuwa kero kubwa mkoba ameangushwa ndani ya kura za maoni ya chama nafasi yake imechukuliwa na SUD MAKAMBA wa ccm..NASRI MBEGU wa pakacha yeye hakugombea nafasi yake yupo KASIMU KALENGA wa ccm mbegu atakumbukwa zaidi kuwa ndie kiongozi pekee aliyetetea vijana kwenye swala la viongozi ndani ya chama na nje ya chama..MZEE KISETO alikuwa hana makuu mtaa wa sokoni watamkumbuka sana mzee huyu aliyesimamia vema usafi na mazingira mtaa wa sokoni yeye nae aliangushwa ndani ya chama chake pia aliyemuangushwa nae akushinda mtaa huo unaongzwa na MURSHIDA wa cuf..
Huyu ni ABDULY azizi chif aleyekua m/kiti mtaa wa tumbo picha na Ashiru issa

Huyu ni ABDULY azizi chif aleyekua m/kiti mtaa wa tumbo picha na Ashiru issa

Share

TASAF WARUDI KWA MARA YA PILI TANDALE

Shirika la msaada la umoja wa kimataifa TASAF, Limerudi tena kwa mara ya pili tandale baada ya mala ya kwanza walikuja na kuandika kaya masikini zilizopo katika mitaa yote sita ya tandale,Hii tilip ya pili wamekuja kwa ajili ya kuhakiki watu walioandikishwa na kufanya mahojiano nao zoezi hiro limeanza jumamosi 14/03/2015 hadi juma nne 17/03/2015.zoezi hili lilikubwa na kashfa na malalamiko toka kwa wanachi na kudai wengi wao waliorozeshwa sio masikini..

picha na Ashiru issa

picha na Ashiru issa

Share

VIJANA WA MUHALITANI WAANZISHA JOGING

Vijana wapatao arobani wa mtaa wa muhalitani wamejikusanya na kuanzisha kundi la joging, lengo ni kuimalissha miili yao kwa mazoezi na hukutana pamoja kwa wiki,wanakutana mara mbili kwa wiki juma mosi na juma pili katika eneo la selekali ya mtaa wa muhalitani,kwa mara ya kwanza kikundi kama hichi kilianzishwa mtaa wa kwa tumbo na aliyekuwa mwenyekiti wa mtaa huo mhe, Abdul azizi chief. Vijana hao wa muhalitani wakiwa chini ya kiongozi wao Idd Majid wanawakalibisha vijana wengine kujiunga kwani hakuna kingilio.IMG_0007

Share

WANA CUF TANDALE WACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UONGOZI

Wanachama wa cuf wa kata ya tandale wamefanya shelehe fupi ya kuchukua fumu za kugombea uongozi wa nafasi mbalimbali huku Abduly kambaya amechukua fumu ya kugombea ubunge wa jimbo la kinondoni na Bi Brandina nae amechukua fumu ya ubunge viti maalumu huku diwani Jumanne Mbunju nae amechukua fumu ya kugombea nafasi ya udiwani kata ya tandale na Bi Murshida nae amechukua fumu ya kugombea udiwani viti maalum..Shelehe hiyo imefanyika katika ofisi yao ya kata iliyopo katika mtaa wa sokoni..IMG_0507

Share