KWA TUMBO WAFANYA MKUTANO WA HADHARA

Mwenyekiti wa selekali ya mtaa wa kwa tumbo ndugu Abduly azizi chief leo amefanya mkutano wa hadhara uliofanyika uliofanyika maeneo ya mashuka,lengo la mkutano huo ni kuwafahamisha wanachi na wakazi wa kwa tumbo mipanngo ya selekali ya mtaa na utekelezaji wake, watu walijitokeza kwa wingi katika mkutano huo na wanachi walipata fursa ya kutoa malalamiko yao na maoni kwa ujumla.

mwenyekiti wa selekali ya mtaa wa kwa tumbo

mwenyekiti wa selekali ya mtaa wa kwa tumbo

 

Share

CCM MUHALITANI WAFANYA MKUTANO WA HADHARA

Chama cha mapinduzi tawi la muhalitani limefanya mkutano wa hadhara uliofanyika jana 9/8/014 katika eneo la ofisi ya selekali ya mtaa mhalitani,lengo la mkutano huo ni kuwaeleza wanachi juu ya utekelezaji wa irani ya ccm ndani ya mtaa huo,watu walijitokeza kwa wingi kusikiliza yaliyotekelezwa na chama.V iongozi mbalimbali walihudhuli katika mkutano huo mgeni rasmi alikuwa katibu mwenezi wa wilaya ya kinondoni Mhe, sangalaza.IMG_0173IMG_0078

Share

TAKA ZAWA KERO TANESCO

Eneo linaropitwa na watu wengi na njia kubwa ya watu waendao kwa miguu nyuma Tanesco mtaa wa mtogole,eneo hiro limekuwa dampo kwa kuputwa taka zilizohalibika,mwenyekiti wa mtaa huo ameshindwa kulisemea kwa sababu uzoaji wa taka katika mtaa huo ni tatizo kwani yapata miezi mitatu gari harijapita,mbaya zaidi maeneo hayo yanayotupwa taka yapo karibu na makazi ya watu ambao wanaweza kupata magonjwa ya mlipuko,wanachi wameomba viongozi wa tanesco waeke ulinzi taka zisitupwe maeneo hayo.IMG_0017IMG_0019

Share

MRADI WA MAJI YETU BADO TANDALE

Mradi wa maji yetu uliotakiwa ukamilike mwezi wa kumi na mbili mwaka 2013 mwaka jana,mradi huo wanachi waliochangishwa pesa ili kuakikisha ubaki tandale,hadi sasa mradi huo haujakamilika na aijulikani utakamilika lini kwani hata viongozi wa mitaa na kamati iliyoundwa hawana jibu la mradi huo..Inaonekana mafundi wakifukua fukua na kuacha mashimo barabarani na kusababisha msongomano wakati wa kupita.IMG_0020

Share

WIZI BADO TATIZO KIBOKO BAR

Tatizo la wizi limekuwa tatizo katika eneo la kiboko bar,eneo hilo kuna vijana wanaokaa eneo la darajani mida ya usiku na kukaba watu,viongozi  wa mtaa wa sokoni na mtogole wameanzisha ulinzi mida ya usiku ili kuzuia tatizo hiro lakini bado haisaidii na hata wakikamatwa polisi vijana hao wanaonekana mtaani hata wiki haipiti,hivyo wanachi wamesema dawa wakipatikana kupigwa hadi kufa.IMG_0012

Share

KABANGA ATOA SOMO KWA VIJANA

Mwenyekiti wa selekali ya mtaa wa mtogole mzee kabanga ametoa somo la maisha kwa vijana,mwenyekiti ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na baadhi ya vijana wa kijiwe cha bodaboda kilichopo tanesco mwisho,Amewambia vijana hao siku zote pesa haitoshi ni vema ukaibajeti kile unachokipata ukafanyia maendeleo hivyo ndivyo tulivokuwa tunafanya sisi zamani ndio maana wazee wazamani wengi wamejenga cha pili msikae kijiweni kuilaumu selekali juu ya ajira ni vema ukajiajiri mwenyewe kama mlivofanya nyinyi kuwa madeleva wa bodaboda kuliko kungojea ajira ya selekali.Vijana nao walitoa malalamiko yao juu ya selekali kuzuia bodaboda kufika mjini kwani wateja wengi ni wamjini mwenyekiti alisema hilo ni swala la selekali kuu sisi tutalisemea kwenye vikao husika IMG_0015

Share