JAPO KUNA POLISI MTOGOLE FOLENI BADO TATIZO

Wakazi na wanachi wa tandale wamelalamikia tatizo la foleni linaroanzia mtogole hadi kwa tumbo, wameadai eneo hilo kuanzi asubuhi na jioni kuna polisi wa usalama barabarani lakini muda mwingi polisi hao ukamata magari badala ya kupunguza msongamano wa foleni, kwa sasa imeshakuwa mazoea asubuhi na jioni kukuta foleni maeneo hayo wanawaomba viongozi husika kulitatua la foleni maeneo hayo ambayo kwao ni kero kubwa sana..

hapa eneo la tanesco gari  zikiwa zimegongana.

hapa eneo la tanesco gari zikiwa zimegongana.

watu wakiangalia ajari ya magari yaliyogongana.

watu wakiangalia ajari ya magari yaliyogongana.

Share

AFSA AFYA ATOA TAHADHARI

Afsa afya wa kata ya tandale ametowa tahadhari juu ya magonjwa ya mlipuko pamoja na ugonjwa wa dengue, ameyasema hayo akiwa na watendaji wa mitaa sita ya tandale na kusisitiza swala la usafi na mazingira..hadi sasa hakuna mtu aliyelipotiwa kufa au kuugua kwa ugonjwa wa dengue. Watendaji nao wamezifikisha taalifa hizo kwa wanachi na kuwasisitiza na kuwa makini na kutunza mazingira ili kuepuka magonjwa ya mlipuko..

hapa wanachaama wakiwa kwenye mkutano

hapa wanachaama wakiwa kwenye mkutano

Share

UCHAGUZI MOTO TANDALE

Ikiwa imebaki miezi michache kabla ya viongozi wa selekali ya mtaa kuachia madaraka,tayari vuguvugu na joto limeanza ndani ya vyama huku chadema nao wakijipanga kuweka wagombea wao..Tandale ina mitaa sita mitaa mitano imechukuliwa na ccm na mmoja na cuf, tayari makundi ndani ya ccm yameanza kila mmoja akiwa na mgombea wake,mikutano ya hadhara ndio jukwaa pekee la kupigana vijembe huku ccm wakiwatumia viongozi wa wilaya na mkoa kujitakasa nao cuf wanamtumia diwani wa kata hiyo kujibu mapigo na kuzima moto wa ccm..Tandale ikifika wakati wa uchagizu amani huwa inapotea kwani aliyekuwa diwani wa kata hiyo dr mwilima alishawahi kupigwa wakati wa uchagizi na matukio mengi yanatokea wakati wa uchaguzi.

diwani wa kata ya tandale akieleza jambo chief akimsikiliza.

diwani wa kata ya tandale akieleza jambo chief akimsikiliza.

hapa k/mwenezi ccm kata ya tandale akihutubia

hapa k/mwenezi ccm kata ya tandale akihutubia

Share

MSAKO WA KUTAFUTA PANYA ROAD TANDALE

Katika kutokomeza kundi la panya road liliropata umarufu kwa muda kwa kuzuru watu na kuiba pamoja na kuua. Polisi wamefanya msako wa mfulululizo katika mitaa ya tandale na kukamata vijana wengi wa vijiweni, msako huo ulikuwa wa usiku na mchana umeleta amani na utulivu kwa wakazi wa tandale ambao waliingiwa na hofu juu ya kundi hiro na kuogopa kuzuliwa..polisi wamewaomba wananchi kutoa taalifa pale wanapoona ualifu unafanyika..

hapa polisi wakiwa doria kwa ulinzi

hapa polisi wakiwa doria kwa ulinzi

Share