MVUA IMEBOMOA NYUMBA

Mvua zilizokuwa zikinyesha imesababisha hasara kubwa kwa wakazi wa tandale maeneo ya kiboko bar na tandale kwa bi mtumwa baada ya kubomokewa na nyumba zao walizokuwa wakikaa, nyumba hizo zimebomoka mchana huku mvua zikiwa zikiendelea kunyesha,hakuna mtu yeyote yule aliyejeruhiwa na tukio hilo…IMG_0087

Share

UJENZI WA MAJI YETU YAARIBU MAZINGIRA

Ujenzi unaondelezwa na mradi wa maji yetu wa kufukia mabomba umearibu mazingira katika eneo la bi mtumwa, wamechimba shimo na kulifukia huku wakiacha maji yakiendelea kutoka na kusababisha watu na magari yapitayo hapo kukwama..tunaomba uongozi husika ulishulikie halaka sana eneo hilo kwani ni kikwazo..

hapa barabara ikitengenezwa

hapa barabara ikitengenezwa

Share

AFISA WA AFYA AELEZA TATIZO LA TAKA TANDALE

Afisa wa afya wa Tandale ameeleza matatizo na changamoto zinazowakabili viongozi wa mitaa katika usimamiaji wa uzoaji taka,ameyasema hayo katika ukumbi wa Mexico tarehe 17/4/2014 baada ya kupokea ripoti ya mazingira kutoka katika kikundi cha Tandale club kilichopo chini ya I

hapa wana kikundi wakisikiliza maelezo toka kwa watoa mada

hapa wana kikundi wakisikiliza maelezo toka kwa watoa mada

ntergratewach.Mama afya alisema tatizo kubwa ni wakandarasi kushindwa kuendesha zoezi la uzoaji wa taka kutokana na wananchi kuwa wagumu wa kulipia ada uza taka.Mwisho aliomba ishirikiano ili kulisimamia vyema zoezi la mazingira Tandale.

Share