WIZI TANDALE WAPUNGUA

Miongoni mwasehemu iliyokuwa ikisifika kwa wizi ni tandale, hata watu wakitajiwa jina la tandale wanaogopa , maeneo yaliyokuwa yakisifika kwa wizi ni mtogole kwa tumbo na chaka.. maeneo hayo sasa hivi yamekuwa mazuri na hakuna tena tabia hizo za wizi, haya yote yametokana na jitihada za wanachi wa tandale kwa kushilikiana na jeshi la polisi kwa kuwafichua wahalifu..

hapa wananchi wakiwa katika kikao na kujadiliana.picha na ashiru issa

hapa wananchi wakiwa katika kikao na kujadiliana.picha na ashiru issa

Share

KARIBU KWENYE JUKWAA LA VIJANA TANDALE

Mratibu na mwandishi wa jukwaa la vijana tandale ndugu hassan pukey anawakalibisha vijana wote wa tandale katika jukwaa la vijana linalofanyika kila jumamosi, jumamosi hii jukwaa litafanyika katika ukumbi wa ofisi ya afisa mtendaji kata ya tandale muda wa saa tatu asubuhi..mgeni lasmi atakuwa diwani wa tandale ndugu jumane amiri mbunju pia watakuwepo wenyeviti wa mitaa wakisikiliza vijana wa tandale wakijadiliana.

huyu ndiye mratibu wa jukwaa la vijana hassani pukey. picha na ashiru issa

huyu ndiye mratibu wa jukwaa la vijana hassani pukey. picha na ashiru issa

Share

AJARI YATOKEA ENEO LA TANESCO MWISHO

Ajari imetokea katika eneo la tanesco mwisho liliropo mtaa wa mtogole kata ya tandale baada ya gari ya abiria kuigonga bodaboda iliyokuwa imebeba mtu, eneo hilo ni atari sana na ajari utokea mara kwa mara katika eneo hilo,katika ajari hiyo hakuna mtu aliyekufa zaidi ya kujeruhiwa..

huyu ndiye mteja aliyekuwa kwenye bodaboda.picha na Ashiru issa

huyu ndiye mteja aliyekuwa kwenye bodaboda.picha na Ashiru issa

Share

UMOJA WA VIJANA WA CCM KATA YA TANDALE WASIMIKA MAKAMANDA

Umoja wa vijana kata ya tandale leo 23/2/2014 wamesimika makamanda wa kila tawi . sherehe hizo zimefanyika katika jengo la ccm kata..katika sherehe hiyo iliyouzuliwa na viongozi mbalimbali wa chama ngazi ya wilaya na mkoa pia alikuwepo mbunge wa jimbo la kinondoni mhe, idd azani aliambatana na abasi talimba pamoja na kamanda wa kata ya kinondoni mustafa muro..kamanda wa kata ya tandale mzee mayuya alianzisha mfuko wa uchaguzi huku viongozi wote walichangia na wengine wameweka ahaddi.

mwenyekiti wa vijana kata tandale akieleza jambo.pcha na Ashiru issa

mwenyekiti wa vijana kata tandale akieleza jambo.pcha na Ashiru issa

Share

VIJANA WA TANDALE WAUNDA JUKWAA LA VIJANA

Vijana wa kata ya tandale wameunda jukwaa la vijana ili kujadili matatizo na changamoto zinazowakabili, katika jukwaa hilo linarofanyika kila jumamosi katika zahanati ya tandale saa nne asubuhi hadi saa saba mchana,jukwaa limezaminiwa na  tandale youht development cetre..vijana mnaombwa kujitokeza kwa wingi kila jumamosi

hapa vijana wakiwa katika pcha ya pamoja.pcha na Ashiru issa

hapa vijana wakiwa katika pcha ya pamoja.pcha na Ashiru issa

Share