MVUA YAZIBA BAADHI YA NJIA TANDALE

Mvua iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo imesababisha baadhi ya njia za tandale kutopika vizuri, njia hizo ni ya chaka inayotokea mtaa wa muhalitani kuelekea sokoni tandale pamoja na dalaja la minara miwili lililopo kwa kazige mtaa wa muhalitani mpakani na mtaa wa pakacha..hali hiyo inatokea mala kwa mala hasa kipindi hichi cha mvua..IMG_3132

hapa maji yameziba njia ya wenda kwa miguu iliyozoeleka..picha na ashiru issa

hapa maji yameziba njia ya wenda kwa miguu iliyozoeleka..picha na ashiru issa

Share

BARABARA YA KWA TUMBO HADI SOKONI YATIWA RAMI

Barabara inayotoka kwa tumbo kwenda hadi sokoni tandale ipo kwenye hatua za mwisho kuwekwa rami, hayo yamesemwa na mwenyekiti wa mtaa wa kwa tumbo ndugu abduly azizi (chief) kwenye mkutano..barabara hiyo iliyokuwa kero kubwa hasa kipindi cha mmvua, wafanya biashara wa soko la tandale nao wamesema imekuwa lahisi kwao kutokana na wateja wao kupata usafili tofauti na ilivokuwa mwanzo..

hapa ni eneo la sokoni kabla ya kuweka lami

hapa ni eneo la sokoni kabla ya kuweka lami.picha na ashiru issa

wanachi wakipita katika barabara ya tandale iliyowekwa mfano wa lami.picha na ashiru issa

wanachi wakipita katika barabara ya tandale iliyowekwa mfano wa lami.picha na ashiru issa

Share

VIJANA WA CAMP WAPEWA MAFUNZO YA AFYA

Vijana wa macamp wamepewa mafunzo ya afya.mafunzo hayo yalidumu kwa wiki mbili mfurulizo na yalifanyika kwa makundi na walipo maliza walipewa vyeti vya ushiliki. mafunzo hayo yametolewa na chuo kikukuu cha afya na sayansi shilikishi cha muhimbili chini ms rusajo kabula..vijana wa camp walifulahia mafunzo hayo na kusema yamewabadilisha na wamejifunza vitu vingi ambavo wao walikua hawavijui.IMG_0123

hapa wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja.picha na steven kallage

hapa wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja.picha na steven kallage

wakwanza noel lema na wapili lusajo kabula wakati wa utoaji vyeti.picha na ashiru issa

wakwanza noel lema na wapili lusajo kabula wakati wa utoaji vyeti.picha na ashiru issa

Share

CCM TANDALE WASHEHELEKEA MIAKA 37 YA KUZALIWA CCM

Wanachama na wapenzi wa ccm wamejitokeza kwa wingi kwenye uwanja bi mtumwa kushehelekea miaka 37 ya kuzaliwa ccm.. shelehe hizo zilizouzuliwa na viongozi wa wilaya na mkoa wote kwa pamoja walisisitiza mchakato wa katiba na zamira ya chama kutaka selekari mbili, mwisho waliwashukuru wakazi wa tandale kwa wingi wao waliojitokeza..IMG_4634

hapa k/mwenezi ccm kata ya tandale akihutubia

hapa k/mwenezi ccm kata ya tandale akihutubia

Share