DARAJA LA LABOMOKA

hili ndio daraja liliro alibika watu wakipita japo bovu

hili ndio daraja liliro alibika watu wakipita japo bovu

Daraja linarounganisha tandale na mwananyamala liliropo mtaa wa kwa mkunduge eneo la yemeni limebomoka na mafuliko na kusababisha watu kupita kwa tabu, daraja hiro ndio kiungo kikubwa kimewapatia ajiria isiyo rasmi vijana kwa kutengeneza mbao na kuziweka na kira anayetaka kuvuka lazima atoe hela..wanachi wa mtaa huo wanauomba uongozi wa wilaya na kulishulikia haraka dalaja hiro ili wawezi kuendelea kulitumia kama kawaida.

Share

M/KITI WA WAZEE AHIMIZA WATU KUJITOKEZA KWENYE VITAMBULISHO VYA URAIA

Mwenyekiti wa baraza la wazee mtaa wa muhalitani amewaimiza watu kujitokeza kwa wingi kwenye vitambulisho vya uraia vitakavoanza 2/01/2014.mwenyekiti ameyasema hayo wakati anawahutubia wazee pamoja na wajumbe h/kuu ya tawi la ccm muhalitani pamoja na hayo aliwaomba viongozi hao kwenda kuwahamasisha na watu wengine na kuwambia zoezi hiro ni bule msije mkadanganywa kuwa na hela.

hapa mwenyekiti akizungumza na wajumbe

hapa mwenyekiti akizungumza na wajumbe

Share