WAJUMBE WA KATIBA KINONDONI WATOA MAONI YAO

Wajumbe wa baraza la katiba la wilaya ya kinondoni wametoa maoni yao katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa CINE CLUB uliopo kawe, mukutano huo uliofanyika kwa awamu mbili tofauti yani 23/hadi 25/8/2013 na awamu ya pili walianza 27/hadi 29/8/2013.mengi yaliyojadiliwa ni kuhusiana na swala la muungano, selekali tatu, maadili na miiko ya uongozi.wengi zaiidi walijikita kwenye swala la selekali mbili pamoja  na majukumu ya rais yasipunguzwe.

hapa wajumbe wakiwa katika mkutano

hapa wajumbe wakiwa katika mkutanoma

wajumbe wa katiba wa kata ya tandale wakiwa katika picha ya pamoja

wajumbe wa katiba wa kata ya tandale wakiwa katika picha ya pamoja

Share

VIKAO VYAANZA JUU YA UJENZI WA BARABARA YA MLANDIZI ROAD

Barabara ya mrandizi road inayoanzia magomeni moroco hadi sinza kijiweni inayotalajiwa kupanuliwa hivi karibuni, watu wengi wenye nyumba za barabarani wameguswa na upanuzi huo, ili kuleta amani katika zoezi hilo vikao vimeanza kila kata husika ili kupewa utalatibu wa malipo utakavokuwa.

hapa wanachi wapo kwenye kikao wakiwasikiliza watoa mada.

hapa wanachi wapo kwenye kikao wakiwasikiliza watoa mada.

Share

UFUGAJI, UZAJI WA MALI ASILI NA UTALII

Katika mtaa wa muhalitni kuna biashara ya kuleta na kusafilisha wanyama, wanyama hao wanaoletwa na kusafilishwa ni pamoja vinyonga, mijusi,nyoka,chura pamoja na ndege.wanyama hao usafilishwa kwenda nchi za nje wakiwa katika maboksi maalum.

hawa ni vinyonga wakiwa katika banda la ufugaji

hawa ni vinyonga wakiwa katika banda la ufugaji

 

haya ni maboksi wanayosafilishia wanyama hao.

haya ni maboksi wanayosafilishia wanyama hao.

 

Share

DAWASCO WAKAMATA WEZI WA MAJI TANDALE

Shilika la maji nchini tanzania dawasco imekamata wezi wa maji wanaevuta maji hayo kwa kutumia pump hivo usababisha wanachi wengine kukosa maji,zoezi hilo limefanywa chini ya ulinzi mkali wa polisi kusimamia zoezi hilo, zoezi hilo limefanyika katika mitaa ya mtogole muhalitani pakacha nk.

hapa polisi na dawsco wakiwa katika msako

hapa polisi na dawsco wakiwa katika msako

 

hapa dawasco wakitoa pump kwenye nyumba ya mkazi wa mtogole

hapa dawasco wakitoa pump kwenye nyumba ya mkazi wa mtogole

 

Share

TAKA ZAPATA MKATANDALASI TANDALE

Tatizo lililokuwa gumu na sugu katika kata ya tandale limepata ufumbuzi baada ya mkandalasi kujitokeza na kupewa tenda ya kuzoa taka, katika mitaa mitatu nayo ni mkunduge,mtogole na muhalitani. kampuni hiyo iliyopewa tenda inaitwa malale company ivyo wameanza vizuri katika zoezi la uzoaji taka hakuna malalamiko yoyote yaliyojitokeza toka kwa wanachi.

hizi ni taka zilizotupwa pembezezo mwa barabara kabla ya mkandalasi kupewa tenda.

hizi ni taka zilizotupwa pembezezo mwa barabara kabla ya mkandalasi kupewa tenda.

Share

VYAKULA SOKO LA TANDALE VYAPUNGUA BEI SIKU YA IDD

Vyakula vimepungua bei katika soko la tandale kutokana na s/kuu ya idd, wakazi wengi wa tandale na vitongoji vyake wanategemea soko la tandale kwa ajili ya maitaji ya nyumbani wamefulahishwa sana na wafanya biashara wa soko hilo kupunguza bei ya chakula hasa mchele na mboga kuwa bei chini.

soko la la tandale watu wakifanya biashara

soko la la tandale watu wakifanya biashara

IMG_2547

Share

WANA TANDALE WASHELEHEKEA S/KUU YA IDD KWA AMANI

Wakazi wa tandale baada ya kuswali swala ya idd na kupata chakula cha mchana watoto kwa wakubwa wameshehelekea s/kuu ya idd kwa amani bila kutokea matatizo yoyote,mala nyingi katika s/kuu kama hizi utokea maafa ya watoto kugogwa na magari lakini hadi leo hakuna tukio lolote la ajali ya barabarani.

waumini wa kiislam wakimsikiliza shekhe akitoa hotuba ya idd

waumini wa kiislam wakimsikiliza shekhe akitoa hotuba ya idd

watoto wakitoka kupiga daku siku ya idd

watoto wakitoka kupiga daku siku ya idd

Share