Mvua yasaidia wakina mama wa Tandale kupata Maji.

Kutokana na mvua kunyesha maeneo mengi ya dar es salaam, pamoja na naeneo mengine Imewasaidia wakina mama wengi sana hasa wa Tandale kupata maji ya ktumia katika matumizi muhimu kama kunywa. Maji yanayopatikana kwa wingi Tandale kwanza mengi ya chumvichumvi alafu yanauzwa, hivyo wananchi wa Tandale wengi wanahangaika sana kupata maji. Mvua iliyonyesha sku tatu zilizo IMG_5002 IMG_5003 IMG_5004

Share

Tandale Road Expansion and the effects

In Monday there was a public meeting with all the leaders of local governments and the community of Tandale which held at the offices of Tandale Ward. The main objective of the meeting was to provide information and discuss major road expansion occurs from Sinza passes Tandale and how it will affect the Tandale Community. Expansion of the road that will bring the public effects including the destruction of their homes (buildings). According to the information on that meeting, the government plans to bring the valuers of the buildings so that all buildings that will be affected during the expansion should be calculated the values. That is the first meeting to inform the community on that expansion, there are other meeting will follow that will be done at Tandale for more discussion on exercise.

Share

Kamati ya Katiba – Tandale

Hivi karibuni kumekuwa na matangazo kutoka kwa tume ya Katiba kwa nchi nzima kupata wajumbe wa katiba kutoka katika kila kata na mitaa. Kwa Tandale kumekuwa na mwitikio mkubwa sana kwa kuwa wanatandale wengi wamejitokeza kuomba ujumbe huo wa Katiba. Zoezi hili mwisho ni Tarehe 20/03/2013 (Leo). Kama kuna mwanatanadale mwingine ambae hajaomba afanye ivo maana mwisho wa kuomba ni leo.

Share

Hongereni Map Kibera – Kenya

Kutoka Tandale, tunapenda kuwapongeza wana Map Kibera kwa ajiri ya kazi nzuri waliyoifanya kuandaa ramani za uchaguzi mkuu wa kenya ikiwa ni pamoja na kutengeneza   repoti mbalimbali pamoja na Video kupitia Voice of Kibera ili kuwawezesha wafatiliaji kufatilia kwa ukaribu nini kinaendelea kwenye uchaguzi. Ukiachana na hayo, Kikundi cha Map Kibera pia tunawapongeza kwa kuwawezesha wanachi kutumia namba kuongea kinachotokea, ni hatua kubwa ambayo inampa mwananchi uhuru moja kwa moja wa kuongea anachokutana nacho. Hongereni sana. Tunawatakia uchaguzi mwema na wenye amani.

540770_217098495103682_225474093_n644538_4926973245256_1473119292_n861054_508477622524514_1027004099_o

 

858988_508447899194153_888641975_o

Posted by Msilikale Msilanga

Share