KIKAO CHA MAENDELEO CHA INTERGRITY WATCH CHAFANYIKA

Kikao cha maendeleo cha Itergrity wach kimefanyika tena katika ukumbi wa manyara pank vikao hivyo sasa vitakua vinafanyika kila mwezi ili kuleta hamasa kwa yale maazimio yao kikao hicho kilijadili eneo la ujengaji wa shule ya sekondari ya kata ya tandale na kuazimia kukutana na wenyeviti wa selekali za mitaa yote sita ili kujadili pamoja. mwisho walitizama swala la mazingira hapa tandale.

wana kikundi wakiwa kwenye kikao

wana kikundi wakiwa kwenye kikaokikundi

 

Share

MRADI WA MAJI YETU WAKARIBIA KUMALIZIKA TANDALE

Mradi wa maji yetu umekaribia kumalizika baada ya hatua zilizifika sasa kulizisha.mradi huo wa maji yetu unaojumuisha mitaa yote sita ya kata ya tandale sasa hivi imefikia hatua ya kuzika mabomba chini ya aridhi baada ya zoezi la kujenga vizimba kumalizika.mradi huo utapokwisha utapunguza shida ya maji tandale.

shimo la kufukia mabomba

shimo la kufukia mabomba

Share

HATARI KUCHEZA NA DARAJA

Hatari kucheza na daraja kuninginia au kukaa. kuna baadhi ya vijana na watoto upenda kukaa katika daraja jipya la kiboko bara huku wakipiga story na wengine kuninginia katika daraja hilo. uongozi wa mtaa husika na wanachi kwa ujumla tunaombwa tulikemee tatizo hilo kwani tusipofanya hivyo daraja halitachelewa kualibika.

vijana na watoto wakiwa kwenye daraja

vijana na watoto wakiwa kwenye daraja

watoto wakiwa juu ya daraja

watoto wakiwa juu ya daraja

Share

BARABARA YA MKUNDUGE SASA YAPITIKA

Barabara ya mkunduge sasa yapitika baada ya baadhi ya nyumba kubomolewa na kufanya      na barabara hiyo kupitika kwa wepesi. imekua lahisi sasa hivi watu wa mwananyamala kuja tandale na watu watandale kwenda mwananyamala hata magari, bajaji na bodaboda imewalahisishia pindi wanapopeleka wagonjwa hospitali. barabara hiyo ya manjunju bado haijakamilika ila inatumika.

hili ni daraja la mkunduge na watu na magari yakipita.

hili ni daraja la mkunduge na watu na magari yakipita.

IMG_4175

Share