HATARI KWA WAKAZI WA TANDALE

Nguzo ya umeme imeanguka na kuhatarisha maisha ya wakazi na wafanya bishara wa maeneo haya

Nguzo hii ambayo iko katika mtaa wa Pakacha na Sokoni imeanguka usiku wa kuamkia leo na hadi sasa hakuna taratibu zozote zilichukuliwa na TANESCO ili kuitoa nguzo hii kwani ina hatarisha maisha ya watu wanaoakaa maeneo haya pamoja na wafanyakazi na wapita njia, njia ni kubwa na inatumiwa na watu wengi wanaoenda katika soko la tandale kutafuta bidhaa.

TUNAOMBA TANESCO WAFANYE HIMA ILI KUIONDOA TATIZO HILI
HATARI KWA WAKAZI WA TANDALE Nguzo ya umeme imeanguka na kuhatarisha maisha ya wakazi na wafanya bishara wa maeneo haya Nguzo hii ambayo iko katika mtaa wa Pakacha na Sokoni imeanguka usiku wa kuamkia leo na hadi sasa hakuna taratibu zozote zilichukuliwa na TANESCO ili kuitoa nguzo hii kwani ina hatarisha maisha ya watu wanaoakaa maeneo haya pamoja na wafanyakazi na wapita njia, njia ni kubwa na inatumiwa na watu wengi wanaoenda katika soko la tandale kutafuta bidhaa.

TUNAOMBA TANESCO WAFANYE HIMA ILI KUIONDOA TATIZO HILI

462681_425270240879117_1288431235_o 470026_425270077545800_1618456253_o 735715_425270217545786_179038170_o

Share

Its possible to have road network in Tandale

Today i found one road in Tandale have been cleaned ready to be constructed. This has been done by Kinondoni Municipality by destructing all the buildings that are withing road areas. This is a beginning of the process to construct different road in Tandale so that to have accessible road network. The road that have cleaned connects Tandale and Kinondoni-Mwananyamala.

Destructed buildings for road construction.

Destructed buildings for road construction.

 

Share