BARABARA YA KIBOKO BAR YAJENGWA

Barabara iliyokufa kwa muda mlefu kutokana na maji na uchafu uliokuwa ukitupwa katika eneo hilo na kusababisha hadi magari kushindwa kupita na yakipita utitia. barabara hiyo imeanza kuchongwa na borodoza likichimba na kuweka njia sawa huku uchafu huo ukibebwa na magari kwenda kutupwa. wakazi wengi wa tandale wamefulahishwa na zoezi hilo.

Share