WACHORAJI WA RAMANI TANDALE WAKABIDHIWA SET YA VIFAA

Wanachi wa Tandale waliokuwa wakishiriki kwenye zoezi la Uchoraji wa ramani sasa wamekabidhiwa seti ya vifaa vya kufanyia kazi ikiwa ni pamoja na kuchora ramani ya tandale na kuandika taarika kwenye Blog. Vifaa ivyo wamepewa na Shirika liitwalo Ground Truth Innitiative ambalo liliendesha mafunzo ya uchoraji ramani wa Tandale. Vifaa hivyo vinahusisha Computer moja, GPS moja, Moderm moja na Camera moja ambapo vifaa ivyo amekabidhiwa Ms Jamila Muhidin ambae kwa niaba ya wananchi walioshiriki zoezi hilo yeye ndo anavishikilia na kwamba mtu yeyote ambaye alishiriki kwenye zoezi anaruhusiwa kuvitumia muda wowote.

 

Share

USAJILI WA VITAMBULISHO WA URAIA WAANZA TANDALE.

Leo zoezi la uandikishaji wa Vitambulisho vya uraia umeanza rasmi Tandale. Zoezi hili linahusisha mitaa yote ya Tandale kama Kwatumbo, Pakacha, Sokoni, Mtogole, Muharitani na Mkunduge. Zoezi hili lilianza kwa kuchagua watu watakaohusika na uandikishaji ambapo walipewa mafunzo siku ya Ijumaa na Jumamosi na jumamosi hiyo waliapishwa na mwanasheria ili kutunza siri za taarifa wanazozikusanya ili leo tarehe 25/06/2012 zoezi hilo lianze rasmi. Leo wamepewa vifaa vya uandikishaji ikiwa ni pamoja na Rejesta ya kuandikishi ambapo wanatakiwa kupita katika nyumba zote za Tandale na kuandikisha wakuu wa kaya na familia zao.

Share

TRAINING FOR TANDALE YOUNG INTEPRENEURS

Tandale is a ward with the population of 71,250 (According to census 2002) and 6 sub-wards. In Tandale there are many people who do bussines in different sectors. Among of the businesses done in Tandale are Retail shops, Whole sale shops, Video library shops, Medical shops, Music library shops, ect. Businesses done in Tandale help the community to satisfy there normal lives (needs). Most of business people in Tandale are doing their businesses without knowledge of what they are doing, they just do business because they need to get money and develop their lives.

Today (19/06/2012) Madam Angeline Kombe who was the teacher by professional and she has just staffed from the Ministries of education and Mr. Ikangala who for this training was the teacher, and so with her own NGO volunteered to train the community of Tandale about Entrepreneurship so that it would help the community to develop their ideas and do their business in proper way. The training has involved different people such as woman, young people from street CAMPS, and individuals with small businesses.

CHALLENGES FACING THE INTEPRENEURSHIPS IN TANDALE.

In the training, the community highlighted different challenges that are facing them in their businesses.

One of them is lack of capital, where by many entrepreneurs in Tandale are willing and are able to do the business but the big challenge they face is lack the capital to start their businesses, so due to that many people doesn’t start businesses although they have many ideas of businesses.

Another thing is that many community lack entrepreneurship knowledge where they have small loans from different institutions (Banks) and they are will to do business but they fail because they don’t know how to develop ideas for the business and how to look for the market places (their customer) to sell the product of their businesses.

Also Tandale community are facing challenge of lack of market where by many people are willing to start the business but they afraid of where to get the market of what they will start.

The above three challenges are the main which was mentioned by the Tandale community but another challenges that they mentioned are such as there is no proper leadership for the groups for the camps, there is no good cooperation within the camps member.

 

 

Share

MFADHILI AJITOKEZA KUSAFISHA MTO NG’OMBE.

Baada ya kero za muda mrefu za mafuriko yaliyokuwa yanasababishwa na mto ng’ombe zinaonekana kupatiwa ufumbuzi baada ya mfadhili kujitokeza kuusafisha mto huo.Hivyo wananchi pamoja na serikali wamempongeza mfadhili huyo kwa moyo aliounyesha na kuwaomba wananchi kuendelea kushirikiana katika idara mbalimbali ili kuweza kujiletea maendeleo wenyewe.

Share

JAMII YAWA KIKWAZO

Kumekuwa na mabishano yanayojitokeza mara kwa mara kwa baadhi ya wakazi kukwepa kuchangia huduma ya uzoaji wa taka ngumu hali inayosababisha makandarasi kushindwa kumudu gharama za uendeshaji .Hali hiyo imejitokeza eneo la mtaa wa Kwatumbo na kujega taswira mbaya ya uchafu kutokana na taka kuzagaa hovyo huku wananchi hao hao wakimlalamikia mkandarasi kuwa hatekelezi wajibu wake. Jamii inapaswa kutambua kuwa suala la usafi wa mazingira  na ni vema ni jukumu la kila raia na ni vema kubadiliu tabia.

Share

MIPIRA YA KUSAMBAZIA MAJI SAFI INAPITA KATIKA MITARO YAMAJI TAKA

Wakazi wa tandale imekuwa adha kwao kwakukosa maji salama na safi kwani wanategemea sana maji

Yanayo sambazwa na mipira, kwani yanatoka mbali, kama Mwananyamala, Kagera nk. Kwenye maungio ya mipira hiyo wakati mwingine hufunguka au mipira utoboka hivyo usababisha mwingiliano wa maji safi

na maji taka hivyo maji yote yanakuwa si salama, kwani maeneo mengine mipira hiyo hupita katika maeneo au mitaro ya maji taka.

Share

MIPIRA YA KUSAMBAZIA MAJI SAFI INAPITA KATIKA MITARO YAMAJI TAKA

Wakazi wa tandale imekuwa adha kwao kwakukosa maji salama na safi kwani wanategemea sana maji

Yanayo sambazwa na mipira, kwani yanatoka mbali, kama Mwananyamala, Kagera nk. Kwenye maungio ya mipira hiyo wakati mwingine hufunguka au mipira utoboka hivyo usababisha mwingiliano wa maji safi

na maji taka hivyo maji yote yanakuwa si salama, kwani maeneo mengine mipira hiyo hupita katika maeneo au mitaro ya maji taka.

Share