One thought on “barabarani

  1. AJARI BARABARANI
    Katika mtaa wa Muhalitani maeneo ya tanesco mwisho imetokea ajali ya barabarani baada magali mawili kugongana yote yakiwa na abilia, ajali hiyo imetokea baada ya gali moja kutaka kumpita mwenzie na kujikuta akimgonga kwa nyuma, katika ajali hiyo akuna aliyekufa wala kuumia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Connect with Facebook